Danube wamuandikia hamisa mobetto barua afute tangazo lao katika instagram page yake

Hii vita itakuwa na msukumo nyuma yake, sidhani kama kuna mfanyabiashara anayechukia promo ya bure...
Inawezekana ikawa ni moja ya promo, au kwenye hiyo page ya Hamisa raia watakuwa wame comment sana kwa kuiponda Danube wakaona kama inawaharibia biashara.
 
Huyu dada baada ya kufanya uchunguzi nmegundua...
She's a THREAT

watu wengi maarufu wanamchukia kwa sababu kwanza kazaa na diamond nafasi ambayo wengi wanaitaka
kingine hamisa hakopeshi kwenye evidence...
ukimchokoza anamwaga mambo hadharani ..
 
Nasubiri tamko la mange juu ya hili

Ataponda danube na zari.
Simwelewi mange kusapoti mdada kuharibu maisha yake kw kuzaa na watu tofauti kabla hajaolewa hata mara moja. Yet anaponda Linda kuzaa na watu tofauti, i mean chuki zingine za kijinga hazina maana. Ila kwa maisha ya marekani Msameheni bure tu
 
Inawezekana ikawa ni moja ya promo, au kwenye hiyo page ya Hamisa raia watakuwa wame comment sana kwa kuiponda Danube wakaona kama inawaharibia biashara.

Tangazo alilorusha alilitoa fasta baada ya kupokea hiyo barua.
Kuna sheria haijalishi lipi au lipi.. ni mwizi ambaye hakujua cha kuiba..
 
Anamponda Linda wakati nae kazaa na wanaume tofauti, anachekesha!!!
 
HAYA MABONGO MOVIE HAYA MAMBO YAO NI YA KIBONGO MOVIE TU! SASA HUYU ATATAKUTANGAZIA BIASHARA GANI LABDA KONDOMU.HAWAJIFUNZI TU! ANAGALIA ANGALAU JOTI ANATUMIA USTAA WAKE KUJINUFAISHA.LEO NDOA YAKE LIVE AZAM TV NA MATANGAZO KIBAO.HILI LIDADA NI KAMA NDEGE JOHN AU KUNGURU HALIFUGIKI
 
Hapana sio mchepuko hao ni mahawara tu
 
Diamond nae sijui vipi, hata Man Fongo hawezi kuzaa na demu mshamba kama huyu. Ndio maana mimi nikimuona demu ni waruwaru siwezi kumuingiza Ding Dong langu hata siku moja.
 
Mbona imeandikwa na mwanasheria sio Danube au
 
nshamsamehe.....ila ipo siku yake atakutana sikopeshi,atavurugwa mpk akili imkae sawa.Dada anamaneno kuliko ata waswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…