tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Bora upewe akili nzuri na sura mbaya, kuliko kupewa sura nzuri na akili mbovu. Sijui hata kama aliielewa barua yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaHivi unajuwa kwamba Lipumba ni Profesa?
Muulize mange kimambi atakupa jibuKwani hamisa ndo nani....?
Inawezekana ikawa ni moja ya promo, au kwenye hiyo page ya Hamisa raia watakuwa wame comment sana kwa kuiponda Danube wakaona kama inawaharibia biashara.Hii vita itakuwa na msukumo nyuma yake, sidhani kama kuna mfanyabiashara anayechukia promo ya bure...
Bora upewe akili nzuri na sura mbaya, kuliko kupewa sura nzuri na akili mbovu. Sijui hata kama aliielewa barua yenyewe.
Nasubiri tamko la mange juu ya hili
Inawezekana ikawa ni moja ya promo, au kwenye hiyo page ya Hamisa raia watakuwa wame comment sana kwa kuiponda Danube wakaona kama inawaharibia biashara.
Teh kwani mnajuaga hilo, ikishasimama mnapanda tu majuto baadae, mi huwa namhurumia sugu kuzaa na yule taahirahamisa ni kuku wa kienyeji....ni aina ya wale mademu ambao wakaka hatutakiwi kabisa kufanya kosa la kuzaa nao mtoto/watoto.
Anamponda Linda wakati nae kazaa na wanaume tofauti, anachekesha!!!Ataponda danube na zari.
Simwelewi mange kusapoti mdada kuharibu maisha yake kw kuzaa na watu tofauti kabla hajaolewa hata mara moja. Yet anaponda Linda kuzaa na watu tofauti, i mean chuki zingine za kijinga hazina maana. Ila kwa maisha ya marekani Msameheni bure tu
Kuku wa kienyeji ndiyo watamu mkuuhamisa ni kuku wa kienyeji....ni aina ya wale mademu ambao wakaka hatutakiwi kabisa kufanya kosa la kuzaa nao mtoto/watoto.
Hapana sio mchepuko hao ni mahawara tuHa ha haaaaa
Safi sana
Hiyo michepuko inafikiri kila kitu inaweza kuingilia.. nilijua hili litakuja.. akili sifuri kisa alifikiri utajiri unaambukizwa kupitia ngono.. eeeeh
Tarehe 30 Inawadia ni kesho kutwa.
Mnitag sitaki kupitwa na udaku wa star mpenda kupaoaswa bila kujionea aibu. Aliniuzi sana kumpamba misa siku aliongea Clouds.. ila misa akisubiri kesi imembidi aende Nairobi kupimbishwa na visichana virafiki vyake alivyokugana navyo Insta.. wanamtumia kama gari bovu kupata pesa huku yeye anatumia mwili wake.. jingwa kubwa.
nshamsamehe.....ila ipo siku yake atakutana sikopeshi,atavurugwa mpk akili imkae sawa.Dada anamaneno kuliko ata waswahiliAtaponda danube na zari.
Simwelewi mange kusapoti mdada kuharibu maisha yake kw kuzaa na watu tofauti kabla hajaolewa hata mara moja. Yet anaponda Linda kuzaa na watu tofauti, i mean chuki zingine za kijinga hazina maana. Ila kwa maisha ya marekani Msameheni bure tu