Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Taarifa inasema waliikabidhi kwa Polisi, tuombe Mungu itafanyiwa kaziTuanze na simu iliyodondoka....., haikufunguliwa kuona mawasiliano ya mwisho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa inasema waliikabidhi kwa Polisi, tuombe Mungu itafanyiwa kaziTuanze na simu iliyodondoka....., haikufunguliwa kuona mawasiliano ya mwisho!
Hihihiihiii... 'Imeisha hiyo' alisikika mlevi mmojaDaah yaani vielelezo vimechukuliwa na kupelekwa polisi🤔🤔
Wenye matonge yaoWatumwe na na nani wakati wao ndiyo kazi yao hiyo kulenga watu wote wenyevidomo domo yaani wewe ukishindwa kuuzuia tu mdomo wako unashtukia hao. Wanaondoka na wewe kama mwewe. Hapo nadhani wana list tusubiri nani anafuata.
Bora tuamie middle east mwanangu. Tunaweza kupata shavu tukawa hata wachambuzi wa masuala ya fiiitaaNchi hii bhana ...
Sasa wakabidhi wapi mkuu?? Polisi ndo wenye mandate ya kufanya uchunguzi kama huo... yaani ubaki na lisimu la watekaji halafu kesho jamaa kaokotwa kafa, na wewe raia umedakwa na hilo lisimu, jiulize utakuwa kwenye hali gani?Kama mmekabizi pingu na simu kwa police Sina Cha kuwasaidia hiyo pingu ingewafukuzisha kazi Wengi na simu tungeitumia kufuatilia waarifu hapo MMEFANYA USHENZI FUTENI LIUZI LENU
Mpaka mkatae hii dhulumaTutaendelea hivi mpaka lini?.
Wrong.... ondoa neno strong weka IntelligentIn this world only the strong survive --- Steve Wonder
Ndiye yule aliyekutwa kwa mwanamke ?
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
====
UPDATE
JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo
Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Nimeshindwa kukutofautisha na nguruwe. Sio lazma kwenye mijadala ya msingi uongee pumba kuna forums nyingi humu.Pole sana ndugu yetu Abdul, mwenyezi Mungu akupiganie wakuachilie salama.
Lakini Abdul kwa level aliyofikia, alitakiwa awe hata na ka vitz jamani, sass watu wanakuja kukutekea stand, tena stendi ya mbezi shamba.
Hujui hesabu na wewe ni nyumbu tu kama nyumbu wenzio 40 ambao hamjulikani mmeelekea wapi bora wenzako 559 wanaangalia + 1 kachukuliwa = 560 + 40 msiojielewa ndio inakua nyumbu 600Simba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa.
labda tuulize, wanateka wenye kidomodomo, kidomodomo kwa mambo yapi, na wanateka kwa maslahi ya nani au maslahi ya kitu gani?Watumwe na na nani wakati wao ndiyo kazi yao hiyo kulenga watu wote wenyevidomo domo yaani wewe ukishindwa kuuzuia tu mdomo wako unashtukia hao. Wanaondoka na wewe kama mwewe. Hapo nadhani wana list tusubiri nani anafuata.
Hivi wale walinzi wa Rais wanaovaaga sare za jeshi (kama la Russia) bado wapogo??Hali tete,polisi nao hawajui Nondo amechukuliwa na nani?Tuombe Mungu arudishwe salama.
sikila wewe, 'wasiojulikana' ni dhana tu ya uficho inayotumiwa na wahusika wenye mamlaka ya kutoa taarifa. Ukweli ni kwamba 'wasiojulikana' wanajulikana vema tu, tena huwa wanaacha nyayo kwenye uharamia wao. Kuna siku wataumbuka mchana kweupeAmechukuliwa na police au watu wasiojulikana???
Kuna watu hawajulikani dunia hii??
Hawajulikani hawana ndugu???
Hawajulikani hawajazaliwa na mama???
Nani anawalipa mishahara ilihali hawajulikani????
Wana machawa wao wanawaitaga vijana wa kitengo!Kiutani utani hili swala litazoeleka.
Nina hakika wafanyao hivyo ni UV
Ahahaha,Kama mmekabizi pingu na simu kwa police Sina Cha kuwasaidia hiyo pingu ingewafukuzisha kazi Wengi na simu tungeitumia kufuatilia waarifu hapo MMEFANYA USHENZI FUTENI LIUZI LENU
Kwa hiyo uhuru wa maoni na wajibu wa kushiriki mijadala ya kitaifa ni kuwa na vidomo domo?Watumwe na na nani wakati wao ndiyo kazi yao hiyo kulenga watu wote wenyevidomo domo yaani wewe ukishindwa kuuzuia tu mdomo wako unashtukia hao. Wanaondoka na wewe kama mwewe. Hapo nadhani wana list tusubiri nani anafuata.