Wewe ungeweza fanya hayo....1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
We ungefanya nini... Acheni upumbavu ninyi ..Ila siye wabongo makenge, yaani hapo palivyo na watu wengi hivyo basi mkaruhusu litokee
Achana na kelele za Watanzania Mkuu.... Ni za kinafiki...Wale watu waliokuwa wanawacheka watu kwa kutotoa .
msaada ya kwa Big Tarimo, walikuwa zaidi ya 100 hapo kituoni na hawajafanya chochote.
Mungu amlinde kijana.
Bila wale hafanyi ziara za mikoaniHivi wale walinzi wa Rais wanaovaaga sare za jeshi (kama la Russia) bado wapogo??
hivyo vyombo vya usalama havioni kuwa vinaichafua serikali na chama tawala kwa vitendo vyao vya utekaji?Pingu kama ilivyo silaha au uniform za polisi, inaweza kuangukia kwenye mikono ya mtu yoyote mwenye nia mbaya. Hivyo mtu kuwa na pingu siyo kigezo cha kuwa polisi. Ila ukweli bado uko pale pale. Wanaoteka watu ni vyombo vya usalama.
Vinaichafuaje wakati serikali ndiyo hivyo vyombo vyenyewe, they're one and the same. Unavitofautishaje hivyo vyombo vya 'utekaji' na serikali wakati ndiyo walewale.hivyo vyombo vya usalama havioni kuwa vinaichafua serikali na chama tawala kwa vitendo vyao vya utekaji?
pingu zinatumika na nani zaidi?Labda tuanzie hapo?Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu🥺🥺🥺
yule mhuni aliokubali sheria kubadilishwa ile ya mwaka 1996 kuhusu kukamata kwenye idara maalumu alikuwa na lengo ovu sanaHivi utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa si uko wazi Kwa mujibu wa Sheria?
Huyo Nondo ni Katibu wa Chama, ina maana ana address yake kwamba anaishi wapi
Mnafika Kwa mjumbe wa nyumba 10 kwenye Mtaa anaoishi kisha mnaenda kumchukua.
Hiyo kumvizia stendi na kumkamata kama jambazi inazua taharuki kwamba huenda ni Wasiojulikana
Hebu Viongozi wa hayo makundi sijui ni Usalama ama Polisi Idara ya Usalama, warudie kusoma miongozo ya kazi zao.
Najua mnatekeleza majukumu yenu, lakini fuateni Sheria na taratibu za kazi zenu
Kidogo sasaHii nchi imeoza...
Kosa kubwa lililofanyika nikukabidhi simu kwa watekaji.
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
====
UPDATE
JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo
Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
View attachment 3166434
Duh CCM wanatakaje? Siku akipatikana IGP mwenye akili ndio itakua mwisho wa CCM
Kabisa mkuuAchana na kelele za Watanzania Mkuu.... Ni za kinafiki...
Wewe ndio ukumbuki vizuri. Nondo alijitekaUwezo wako wa kumbukumbu ni mdogo sana, wenye fikra kama zako walikuja na falsafa hiyo ya kujiteka wakaenda Mahakamani lkn walishindwa na mahakama ilikubaliana na Nondo kwamba alitekwa.
Dawa ni kutafuta familia za watekaji na kuzichoma moto,nadhani kwa namna hii hili litakoma.
Ndio maana mimi utapeli wa maridhiano niliukataa tangu mwanzo.Huyu na Zito ni vibaraka wa Samia...Kuku anadonoa vifaranga vyake.