Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Wewe ungeweza fanya hayo....
Keyboard Warriors...🚮🚮🚮
 
Pingu kama ilivyo silaha au uniform za polisi, inaweza kuangukia kwenye mikono ya mtu yoyote mwenye nia mbaya. Hivyo mtu kuwa na pingu siyo kigezo cha kuwa polisi. Ila ukweli bado uko pale pale. Wanaoteka watu ni vyombo vya usalama.
hivyo vyombo vya usalama havioni kuwa vinaichafua serikali na chama tawala kwa vitendo vyao vya utekaji?
 
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu🥺🥺🥺
pingu zinatumika na nani zaidi?Labda tuanzie hapo?
 
Hivi utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa si uko wazi Kwa mujibu wa Sheria?

Huyo Nondo ni Katibu wa Chama, ina maana ana address yake kwamba anaishi wapi

Mnafika Kwa mjumbe wa nyumba 10 kwenye Mtaa anaoishi kisha mnaenda kumchukua.

Hiyo kumvizia stendi na kumkamata kama jambazi inazua taharuki kwamba huenda ni Wasiojulikana

Hebu Viongozi wa hayo makundi sijui ni Usalama ama Polisi Idara ya Usalama, warudie kusoma miongozo ya kazi zao.

Najua mnatekeleza majukumu yenu, lakini fuateni Sheria na taratibu za kazi zenu
yule mhuni aliokubali sheria kubadilishwa ile ya mwaka 1996 kuhusu kukamata kwenye idara maalumu alikuwa na lengo ovu sana
 

Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.

Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu

====

UPDATE

JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo

Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo

Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.

View attachment 3166434
Kosa kubwa lililofanyika nikukabidhi simu kwa watekaji.
 
Dawa ni kutafuta familia za watekaji na kuzichoma moto,nadhani kwa namna hii hili litakoma.
 
Duh CCM wanatakaje? Siku akipatikana IGP mwenye akili ndio itakua mwisho wa CCM

Kuna nchi moja kule Damescus ya zamani Mkuu wake wa dola alikua anatuhumiwa kuwa ni mvuta bangi nambari moja .

Lakini alidumu kwa muda mrefu kwa sababu aliyemteua alimteua kwa kazi moja tu ya kuua na kuchinja wapinzani wake .

Dunia ina mambo.

Magufuli hakuwa mbaya bali alichukia ufisadi lakini alizungukwa na wauaji na walifanikiwa kuchukua nafasi kabla ya kusafisha ufisadi .
Nadhani Magufuli alikua sahihi kwenye zile chaguzi.

Yule mwamba alishtukiza mauaji makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa wapinzani ndio maana akaona atumie mbinu ya kuwatoa wapinzani ili wasishiriki maana pangekukua na maafa makubwa sana .
Kuna genge linataka kuimiliki nchi na raslimali zake zote huku wakiwaua watu wenye ujasiri wa kukemea..

Kuna kamchezo kaliwahi kutokea kule Yemeni ,kati ya madhehebu mawili makuu ya dini .
Rais alikua ni dhehebu fulani na sasa wetu wa dhehebu lake wakaweka agenda kuwa waumini wote wa dini ile wamuunge mkono Rais bila kujali vyama vyao ili iwe rahisi kupambana na wale wa dhehebu jingine . Ikawa ni ama umuunge mkono au utangaziwe fatwah. Wapinzani wengi waliuawa kwa sababu waligoma kusaliti vyama vyao.

RIP Ally Kibao.
Bwana alitoa na CCM wakatwaa jina lake lipite mitano tena
 
Kwanza nitoe pole kwa wale wote mlioguswa na tukio ili la kupotea kwa kijana mwenzetu mwanasiasa Abdul Nondo.

Nawakumbusha tu uko nyuma Abdul Nondo aliwai kujiteka wakati anatafuta kujulikana kisiasa.

Sisemi kwamba amejiteka anatengeneza drama na timu yake ila nakumbushia ni kama hadith fulani ya kale mtu aliyekuwa anafaa utani wakati akiwa serous watu wakashindwa kuelewa.
 
Uwezo wako wa kumbukumbu ni mdogo sana, wenye fikra kama zako walikuja na falsafa hiyo ya kujiteka wakaenda Mahakamani lkn walishindwa na mahakama ilikubaliana na Nondo kwamba alitekwa.
 
Uwezo wako wa kumbukumbu ni mdogo sana, wenye fikra kama zako walikuja na falsafa hiyo ya kujiteka wakaenda Mahakamani lkn walishindwa na mahakama ilikubaliana na Nondo kwamba alitekwa.
Wewe ndio ukumbuki vizuri. Nondo alijiteka
 
Dawa ni kutafuta familia za watekaji na kuzichoma moto,nadhani kwa namna hii hili litakoma.

Kuna mafanikio makubwa wanayopata watekaji ikiwemo kulipwa fedha na vyeo.
Katiba inayompa Madaraka makubwa Rais ipo siku itatuletea Rais anayekula nyama za watu .

Watu watatumwa kuleta nyama za watu na watazitafuta kwa wingi sana ili kulinda maslahi yao na kupata teuzi kwa kumfurahisha mtoa riziki wao.

Wapinzani sasa wanakatwa mikia iliyokua imeota kwa muda.

Huyu mama aliwahi kusema wao wakomtuma mtu wao kulenga risasi hakosi .
Tena akasema kifo ni kifo tu .

Na yule Wakala wa shetani Shehe Mwaipopo naye eti anatumika kuwajibu maaskofu wanapokemea wetu kupotea na kuuawa na kutekwa. Hizi dini zinapoteza kabisa uhalali wa kuletwa Afrika sehemu iliyokua imetulia kama Edeni na wanyama na mito na mabonde huku wafugaji na wakulima wakisherehekea kwa sherehe na ngoma za asili na pombe nzuri za asili sisizowaka kama petroli kama hizi za sasa.

Eti Mwaipopo anamwambia Askofu Ruwaichi afanye utafiti . Akatumia kingereza koko no research no.....speak.

Yaani kwa upumbavu wake hajui kuwa kanisa katoliki ndilo msingi wa intelijensia duniani kote .

Kanisa katoliki linawaumini watiifu na wa kweli wasioyumbishwa na mtu yeyote.

Hivi elimu ya Mwana wa Mungu Askofu wa jimbo kuu la Dar es salaam anaweza akajilinganisha na yeye mwana wa shetani Shehe Mwaipopo . Huu si utani wa kuwalinganisha wajapani katika teknolojia na wachonga vinyago pale mwenge?
 
Nilisema,nasema na nitaendelea kusema. Watu wanatekwa, kama jamii tuko kimya. Leo ni mtu tunamsoma, kesho huenda niwewe, mimi au ndugu wa karibu.

Nilisema mpaka uchaguzi upite, watu wengi sana watapotea na bila kuonekana. Hii si sawa, kina Soka watu wameshawasahau. nasasa ni Abdul Nondo.

Msijifanye hamjui anayetoa maagizo, wanaotenda. Kama Taifa, tukiishi kwa kufumbwa midomo, kukandamizwa, kutekwa. Basi si salama tena kuishi Tanzania. Amalize kuuwa wote, ila kila damu ina malipo yake, tena kwa vizazi na vizazi.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Huyu na Zito ni vibaraka wa Samia...Kuku anadonoa vifaranga vyake.
Ndio maana mimi utapeli wa maridhiano niliukataa tangu mwanzo.

Huwezi ukafanya maridhiano wakati majambazi kama Sabaya Biswalo Mganga , Bashite, Bashiru wanadunda tu mtaani.
 
Back
Top Bottom