KERO Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

KERO Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Poleni,
wamegoma au kuna ajali?
Namsikia mhubili wetu,
 
Kwa Dar es salaam hili jambo limekuwa shida na shida ya muda sasa, tulitumaini ujuio wa Mwendokasi ingekuwa unafuu katika usafirishaji wa abiria jijini hapa lakin imekuwa adha na shida kwa wasafiri wengi haswa muda wa asubui na jioni pale watu wakitoka na kwenda makazini.
 
Back
Top Bottom