KERO Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

KERO Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Watanzania tushashindwa kujiendesha hasa hizi ofisi zilizo chini ya serikali maana stupidity wanajua afanye chochote mwisho wa mwezi mshahara unaingia,hamna biashara rahisi kama ya usafiri ila na bado wanashindwa!
Tatizo ni majizi sana hata hela za uendeshaji tu hawana wanakomba zote
Mabasi yanakufa na kuzima kisa oil au filter
Nchi inaenda tu, kweli ni kazi isiyo ngumu kuendesha biashara hii ila nani muadilifu wa kuisimamia?
 
Hapo kabla ya kupanda gari unawapa maokoto yao kwanza then unaenda kuungana na abiria wenzio kusubiri gari.

9600 x 750 = 7,200,000 /= tsh
 
Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600

Ni kama serikali inatengeneza demand kwa sisi wananchi ili tupaze sauti hilo shirika libinafsishwe.

Huu upuuzi ni matokeo ya serikali kutokuwa na mfumo wa kudhibiti ubora wa huduma zake kwa umma
 
Focus ya serikali ni kujaza barabara za mwendokasi jiji zima , servise quality control ni zero.
 
USAFIRI WA OVYO HAWA WANAOENDESHA MRADI
HUO WANAWAONA WATUMIAJI
KAMA MANGOMBE,KENGE TU

Ova
 
PoleNi sana aisee.. ila kwa nyomi hiyo na kero hizo za mwendokasi, kuna siku raia watachoka na kuamua kuingia barabarani
 
Back
Top Bottom