Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ndo ushindwe kujinunulia hata piki piki ya kuchaji ya milion na laki mbili!!!?Ila DsM kama u maskini unaishi maisha ya mateso sana.
Kila mtu awe na gari lake huko barabarani itakuaje?Tafuteni heka mnunue magari
Barabara zitaongezwa tu,mbona japan kila mtu ana gariKila mtu awe na gari lake huko barabarani itakuaje?
Umenikumbusha professor j kwenye kikao cha dharuraKila mtu awe na gari lake huko barabarani itakuaje?