Kuna jamaa yangu anamiliki coaster za g'mboto -simu 2000,foleni,kugombea abiria usumbufu wa trafiki na bado faida anaiona kubwa tu,mwendokasi wao ndio wanawaringia abiria,wana barabara yao maalum ambayo haina foleni,awapati usumbufu wowote wa polisi trafic na bado wanashindwa kutoa huduma bora na wanalalamika wanapata hasara halafu sekta kama hizo wakipewa watu kutoka nje wanaojielewa waziendeshe tunaanza kulalamika!Tatizo ni majizi sana hata hela za uendeshaji tu hawana wanakomba zote
Mabasi yanakufa na kuzima kisa oil au filter
Nchi inaenda tu, kweli ni kazi isiyo ngumu kuendesha biashara hii ila nani muadilifu wa kuisimamia?
Kuna dada mmoja amefunguliwa mashtaka pale Mbeya kwa kuwa ameimba viongozi wanatuona nyaniUsafiri huo ni wa malofa na sisi malofa
Usafiri huo ni wa waduanzi kabisa
Ova
Mwarabu angeanza na mwendokasi aachane na bandarimwarabu hajapewa mwendokasi bado?
Tatizo usalama kwa waendesha pikipiki Tanzania ni mdogo mno,naposema ni mdogo namaanisha ni mdogo hasa.Ndo ushindwe kujinunulia hata piki piki ya kuchaji ya milion na laki mbili!!!?
Ukiona chuma inachomoka pale Kimara terminal au Mbezi zile ndefu ndani mna abiria siyo chini ya 230/40 zile kipisi zinabeba 150/55 na route zote kwa muda wa asubuhi kutoka Kimara/Mbezi to town hakuna gari zinavuka Ubungo milango ikiwa inafunguka normally kwa sababu ya kujaza sana.Aisee kweli hawa jamaa mishipa ya aibu ilishakatika
Umenikumbusha stori ya Marie Antoinette, mke wa Mfalme Louis XVI wa France.Kwanini wasinunue magari yao binafsi?
We si ndio unasemaga watu waache kuendesha magari yao kisa bei ya mafuta imepanda.Usafiri huo ni wa malofa na sisi malofa
Usafiri huo ni wa waduanzi kabisa
Ova
[emoji1]We si ndio unasemaga watu waache kuendesha magari yao kisa bei ya mafuta imepanda.
Anyways mwendokasi/daladala ni laana
Kataa daladala: Ni usafiri wa ovyo na unadhalilisha sana
Imagine uko na mtoto wako mmeshika bomba konda anakufokea ujipange vizuri abiria wengine waingie[emoji1787][emoji1787] This is embarrassment of the lifetime! Imagine dunga dunga ana mdunga mkeo au dadako au mama ako mbele yako, huna cha kufanya utia tia huruma kama kubwa jinga. Imagine umeoga...www.jamiiforums.com
Barabara zitapanuliwa kuendana na wingi magari..maana magari yakiwa mengi hata kodi itakua kubwa kuanzia Ku import, mafuta, vipuri bila kusahau fine za barabarani.Kila mtu awe na gari lake huko barabarani itakuaje?
Mwendokasi ni laana.Mwendokasi ni usafiri wa karaha
Tanzania hatuna viongoziHali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600
Pia soma:
DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea mabasi, Pia mabasi ni machache
LATRA yasajili kwa muda daladala kuiongezea nguvu mwendokasi
Mimi nashauri mradi wa mabasi ya kibluu ufe kwani wameshashindwa, daladala zitumie barabara ya mwendokasi. Kwakuwa hayatakuwa yanakaa foleni, yatabeba watu wengi kwa wakati mfupi, kuliko kwenda kituoni na kusubiri mwendokasi lisaa lizima. Kimara wameshindwa, sasa watawezaje kuendesha njia mpya...www.jamiiforums.com