DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

Tuacheni kutetea maovu , mtu anakamtwa na meno ya Tembo tena vizibiti vipo tunasema ameonewa eti kwa kuwa ni tajiri au kwa kuwa anapingana na serikali iliyopo madarkani, watanzania mbona tuko down sana kiasi hiki? kweli mtu kakamatwa na uwindaji haramu tuna sema serikali inanyanyasa matajiri? wangapi wamekamatwa Tanzania hii kwa uwindaji haramu na wako huko wanasubiri kesi zao? kama ameonewa mahakama ipo itatoa hukumu, lakini sio tuache kuchukua hatua pindi watu wanapokuwa na hatia, tunataka kujenga taifa la ajabu sana kisa eti tunataka huyo tajiri aliyekamatwa tumtetete hapa tumchonganishe na serikali ili akitoka basi aungane nasi katika vyama vyetu kisa tupate misaada ya ufadhili, siasa ni mbaya sana tukiicha iwe katika akiri zetu muda wote maana kila kitakachokuwa kinatokea hapa nchini baada ya kujadili in a facts way tunalichukulia ni suala lakutafutia wafuasi, lets the government do the work, kuna mahakama zitaamua, ndio maana mimi nasem serikali iliyopo itakuwa ngumu sana kuyatoa, maana yanazidi kupata uungwaji mkubwa wa watu na kujiweka katika mazingira mazuri kwa kipindi kijacho,wanacheza na agenda zao vizuri, rushwa, ujangili,madawa ya kulevya na kadhalika, sisi tunadharau lakini wenzetu ndo wanakimbia hivyo.
 
Tatizo wewe ni mjinga na hujijui kama ni mjinga, siyo kila muwindaji ni jangili, hizo kampuni zimesajiliwa kisheria na wanawinda kisheria na hata tembo wanauwawa kisheria.

Mpaka ujifunze tofauti ya jangili na Proffesional hunters ndio utaacha kuandika ujinga kama huu ulioandika hapa.
 

Aiseeee awamu hii mtu ukiwa ni tajiri na ikiwa utajiri huo umeupata kwa njia haramu basi ni hofu tupu....akipita mjusi juu ya paa la nyumba yako ni wasiwasi mtupu...hakuna raha tena...
 

Safari ya kwenda kwenye uchumi wa kati ni ndefu sana. Awamu hii inaonyesha jinsi tulivyo wajinga kwenye masuala ya biashara na basic general knowledge.

Mtu kuona pembe na bunduki anajua huyo ni jangili. Hajui hunting ni registered business Tanzania.

Utakatishaji wa $9,018! Hii ni pesa ya kusafisha? Watanzania tunafanywa wajinga sana.
 
Hawa matajiri wa Tanzania wote ni wezi tu, baadae wanatudanganya eti walianza kwa kushona viatu, kumbe full ujambazi.
 
Waendesha mashtaka wetu wa Kibongo siajabu kosa moja limejirudia mara 15 kumbe pana makosa 5 tu
 

Kwani waliomkamata hawajui kama kuna license za uwindaji zinatolewa kwa watu mbalimbali? hata license zina limitations ya nini ufanye au uwinde wanyama pori wa aina gani, ukienda nje ya license yako bado utakamatwa. Kuwa na license haikufanyi wew usiwe jangili, hata mimi naweza kuwa na license ya kuwinda sungura nikawinda samba ,je sitakamatwa? ndo maana nikasema watanzania tuko down sana, wew umeiona license ya huyu mtu unaemtetea? kama anavielelezo vya kutosha mahakama itaamua sio kusema kaonewa ,this kaonewa eti ni tajiri ni mawazo ya kijima, acha serikali ifanye kazi yeye atajitetea mahakamani.
 
Nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…