Ni sawa usemavyo lakini usisahau katika wizi huo hata wasio wahindi walihusika kikamilifu, hivyo sio vizuri kubagua.Ni kweli siwapendi, walituibia vya kutosha Tanzania na adhabu pekee walipata ni kuachia Ubunge na kujivua nyadhifa zao kwenye chama chake.
Mtaani huku vijana wanaiba kuku na chakula tunawapiga mawe hadi kufa.
Rudisheni ile list of Shame tuifanyie kazihalafu hawa watu wanachwaje kwenye tuhuma za ufisadi?
1. kikwete
2. andrew chenge
3. lowassa
4. gsm
5. karamagi n.k?
Mwenye mizania ya haki yu upande wa naniHaki itendeke
Rudisheni ile list of Shame tuifanyie kazi
Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
Anatetea mafisadi,kwa hiyo kama amefanikiwa kwa njia haramu asichukuliwe hatua???? Kweli JPM kanyoosha haya makenge mpaka hawajui wanachoongeaMimi na wewe hatuwezi mjuwa aliyefanikiwa, ni kujidanganya tu machoni na moyoni
Hizi ni lugha za kimasikini hatuwezi kufanikiwa kwa lugha hizi.Anatetea mafisadi,kwa hiyo kama amefanikiwa kwa njia haramu asichukuliwe hatua???? Kweli JPM kanyoosha haya makenge mpaka hawajui wanachoongea
kwa hiyo?Ni ndugu was Rostam..I believe
Bavicha bwana, leo mnawaombea wahujum uchumi hahahahahahah.Hiyo kesi ikiendeshwa kwa msukumo wa chuki na visasi ni vigumu haki kutendeka.tunatoa angalizo tu
Usimsahau mshauri Mkuu wa Raisi Magufuli na mwasisi wa magenge ya ufisadi nchini.halafu hawa watu wanachwaje kwenye tuhuma za ufisadi?
1. kikwete
2. andrew chenge
3. lowassa
4. gsm
5. karamagi n.k?
Wewe inaonekana ni mpambe wa hawa jamaa walionyooshwaHizi ni lugha za kimasikini hatuwezi kufanikiwa kwa lugha hizi.
pwagu kweli chukia umaskini wako usichukie waliofanikiwaHapa ndipo huwa nakuwa upande wa JPM wa kuwanyoosha mafisadi
ni kweli muda wa watu kuuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu haupo, ila upo wa kufisadi 1.5 trilioniWaambie hao wenye kampuni na wanasheria wke kuwa ule wakati wa kuchezea mali za watanzania kwa kuwa unajua kucheza na sheria za nchi umekwisha! mtatoa matamko sana.
Ngoja tuone mwisho utakuwaje cos wengi wamefikishwa mwisho hadi leo haielewekiKwa wana JF,
Natambua kuwa kuna threads 2 humu; ila taarifa ni kuwa Akram Aziz ambaye ni mdogo wa Mbunge wa zamani wa Igunga, Ndg. Rostam Aziz, ni kweli alikamatwa na Vyombo vya Dola na mchana huu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
Kwa kuanzia, ana makosa takribani 75 ambayo anahusishwa nayo. Kuna utakatishaji fedha/uhujumu uchumi na kukutwa na nyara za serikali pia katika makosa hayo.
Taarifa zaidi zinakuja.
Kwa Taarifa za awali, Soma => Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali... - JamiiForums
why???????????????Wewe inaonekana ni mpambe wa hawa jamaa walionyooshwa
ulijuaje???????????ni kweli muda wa watu kuuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu haupo, ila upo wa kufisadi 1.5 trilioni
kwani nani mlimpa? sasa mbona unaidhalilisha serikali maana inaonekana sasa serikali haifanyi lolote inasubiri iambiwe nini cha kufanya. halafu wewe unaifanyia kazi humu JF? maana huna mbele wala nyuma ... zaidi ya kushabikia hata usiyoyajua. serikali iwakamate wale mafisadi niliotaja wakiongozwa na kiongozi wao. aliyefisadi pesa nyingi sana.