DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
Ndipo akili zako zilipoishia, kwani EPA walijilipa? Acheni upoyoyoyo baada ya kuichukia CCM unawachukia watanzania wenzako, kisa tu wana Asili ya Asia!!
 
Kwani huyo Jiwe na Bashite wanatajirika kwa hela gani?
 
Wabongo bwana, watu mmeshataifishiwa 1.5 Tilioni hiyo hamjui kama hela, sijui mnajua nia aina ya utawala au demokrasia? Watu wanawachanganya kwa sinema za kutungwa, ili kuwapumbaza akili na kuwaaminisha kuwa ile milioni 50 kwa kila kijiji anayo Akram!!
 
Mkuu kuna vibari vya kuwinda tembo?
 
Toa mfano wa mfanyabiashara mkubwa alie fungasha!
 
Kipindi cha bwana yule waliachwa wakafanya wanayotaka cc tunakula nyama ya ngo'mbe wao hawakuijuwa ni kupiga mnyama wanayemtaka mbugani awe na vibali halal asiwe na vibali hakuna wakuuliza,nakumbuka ukikamata watu kama hao unapigiwa simu na mkuu wako ana kwambia (kwani ungewaacha ungeathirika nini)maneno kama hayo yalikatisha tamaa katika kipindi cha bwana yule,ndiyo maana tukiona yanayofanywa hadi sasa wapingaji wakubwa ni watu wenye fedha na wengine wamo ndani ya serikari na chama chao kwa ujumla
 
Mkuu kuna vibari vya kuwinda tembo?
Wewe sio Kuwanda tembo, ni vibali vya kununua meno ya tembo. Acha kuchanganya mambo. Hayo meno serikali ikisha yakamata kutoka sehemu yoyote haramu, huyapiga mnada. Huyo Akram alinunua serikalini hayo meno 4, na hizo rifle ni siraha za kuwindia wanyama kwenye mapoli ya akiba jamani. Tufike sehemu tukiona utoto tunaujua na kuupuzia.
 
Tupe hiyo taarifa ya serikali kupiga mnada wa meno ya tembo kwa Akram,ni lini mkuu,na wapi? Una supporting documents kutetea hoja yako? Kama huna utakuwa unapuyanga tu,pia usiwe na mtazamo hasi eti anaonewa!
 
Kweli mteja ni mteja!nikupe ukweli nyie wanasheria msingesema ukweli zaidi ya maneno kama hayo
 
Vibali vya kupiga tembo vipo, kama visitishwa sasa hivi hilo ni jambo lingine ila nakuthibitishia nimefanyakazi kwenye hiyo industry, msidanganywe kafala namna hii.

Kinachowapata hawa watu kwa sasa ni KARMA.
 
inabidi nitafutu mtu wa kunielekeza maana na aina za utakatishaji fedha, maana imekuwa kesi ya kila siku nisije jikuta nakosea na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…