Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mitanzania ni mijitu ya hovyo sana, watu wanarithishwa chuki za kishamba.Watu hawajui kutofautisha uwindaji na ujangili. Hawaelewi uwindaji ni biashara halali inayotambulika Serikalini.
Wanaaminishwa uwindaji ni ujangili.
Kama wakiiba their time will comeKwani huyo Jiwe na Bashite wanatajirika kwa hela gani?
Hii kauli huwa INANICHEKESHA sana.HUWEZI FANIKIWA KWA KUMCHUKIA ALIYEKWISHA KUFANIKIWA
Mitanzania ni mijitu ya hovyo sana, watu wanarithishwa chuki za kishamba.
Kenya wamesitisha utalii wa uwindaji wanafanya utalii wa picha tu expedetion.
Kenya mirungi ni halali bangi ni kosa, Canada wamehalalisha matumizi ya bangi unaruhusiwa kulima nyumbani kwako kwa matumizi binadamu.
Kamwe huwezi kuwa tajili kwa kumchukia tajilo, yajili akichukia ni maafa kwa nchi majobles watajaa kila kona.
Sifurahishiwi na Huu uonevu lakini naomba ukumbuke hata maskini wanaweza kuwa matajiri. Kuwa watu nawafahamu miaka ya nyuma walikuwa mafukara lakini miaka ya karibuni hata mimi siongei kitu.Duh, maskini kazi yetu kushangilia kila tajiri anaponyanyaswa, lakini hamkumbuki maisha yetu yameshikwa na huyo tajiri. Tumashangilia ujinga, uonevu na kila aina ya dhulma inayofanyika kwa matajiri. Iko siku nyuma huu mchezo siri iliyojificha itafunuliwa!!
Kwani kuna MTU kamchukia tajiri..?Mitanzania ni mijitu ya hovyo sana, watu wanarithishwa chuki za kishamba.
Kenya wamesitisha utalii wa uwindaji wanafanya utalii wa picha tu expedetion.
Kenya mirungi ni halali bangi ni kosa, Canada wamehalalisha matumizi ya bangi unaruhusiwa kulima nyumbani kwako kwa matumizi binadamu.
Kamwe huwezi kuwa tajili kwa kumchukia tajilo, yajili akichukia ni maafa kwa nchi majobles watajaa kila kona.
Huko nyie kuleni tu korosho.Heko kwa Serikali kulinda tembo na maliasili yetu.
Mulikeni pia na kwenye gas huku mtwara na Lindi.
We unalipa kodi sh ngapi?
Hapa ndipo huwa nakuwa upande wa JPM wa kuwanyoosha mafisadi
Kule kwingine yuko salama..Kwa JPM anapigiwa mahesabu..akikanyaga Bongo tu ndaniiYule Rostam ambae jina lake limefutwa kwny orodha ya Mafisadi papa toka chama kile?
Mbona mlivomweka ndani Yusuf Manji mlisema amekamatwa na Mihuri ya Jeshi, Sare za jeshi na vitambaa vya sare za jeshi??? Yalikua mashtaka ya kweli haya??? Na kama ya kweli yameishia wapi mbona hajafungwa???? Au ulikua uonevu???
...hata huyo msomali wa karoleni siku zake zinahesabika....maake kawachinja sana ndovu wetuKule kwingine yuko salama..Kwa JPM anapigiwa mahesabu..akikanyaga Bongo tu ndanii
Hivi mkuu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa bei chee siyo ufisadi?Kule kwingine yuko salama..Kwa JPM anapigiwa mahesabu..akikanyaga Bongo tu ndanii
Utahitaji pia kumchukia Mkapa aliyeasisi skandali ya EPA. Kwa maneno mengine usibague kwa misingi ya kabila katika kuchukia ufisadi. Uchukie ufisadi lakini usichukie mtu kwa misingi ya kabila lake.Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
Hili swali zuri sana. Watetezi wa futuyi za JPM, hawawezi kukujibu.Hivi mkuu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa bei chee siyo ufisadi?
Jamaa KWENYE uzi kuna sehem amesema huzo pembe anamiliki kihalali sijajua uhalali ni upWaambie hao wenye kampuni na wanasheria wke kuwa ule wakati wa kuchezea mali za watanzania kwa kuwa unajua kucheza na sheria za nchi umekwisha! mtatoa matamko sana.