TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

We ms3ng3 umeshawahi kusikia Rais akitoa kauli yoyote ya KUTOKOMEZA UDHALIMU huo? Samia na kijana wake Abdul ndio wafadhili wa hayo MAGENGE ya UTEKAJI NA MAUAJI. NI HUZUNI
Natakiwa na mimi nikutukane ndio twende sawa ama?

Sio kila mtu gullible wa kuambiwa kitu na kukubali tu kama unavyotaka. Unatoa baseless accusations halafu unataka tukuamini.

Kwa Sasa sina nguvu ya kutukanana mtu na kujikasirisha for no apparent reasons, wakati nahitaji full concentration kwenye mambo mengine ya maisha.

Sehemu ya kukuwa ni kuelewa pia kuna wasaa mitandaoni unaweza kuwa unabishana mkaanga mihogo mmoja ambae hana mbele wala nyuma kodi yake chumba swekeni tsh 30,000 kwa mwezi.

Kodi yangu ya pango hapa £1500 kwa mwezi bado bills nyingine. Nahitaji kichwa changu katika hali nzuri kama huna uwezo wa kujibizana kwa staha kwaheri.

👋
 

Tlaatlaah haya ndiyo yanaendelea nchini sio bla bla. Sasa hakuna atakaye shikwa kwasababu tu huyu mzee alikuwa Chadema. Haya ndiyo mnaunga mkono iko siku watakuwa ndugu zenu ndiyo mtaelewa
 
J

jpm ndio alianzisha hivi vitengo vya kuua wapinzani na wakosoaji wake..huyu mama shungi yeye nae kaiga kuua ila policeccm wajue nao ni binadamu yana mwisho na mwisho wake ni mbaya sana
Hapana utekaji ulianza zama za JK na mtekwaji wa kwanza alikuwa Ulimboka. Alitupwa porini na kunyofolewa kucha. Wa pili alikuwa Mwandishi wa habari alingolewa Meno - alikuwa kabendera au???- alitibiwa Afrika Kusini.
 
MAFWELE hunitishi kwa lolote
 
It pain, kwanini kuua mtu, kwanini kama mnamashaka na mtu kwanini asifichwe tu, ale asome magazeti, anyimwe mawasiliano miaka hata mitatu, KWANINI KUUA MWANADAMU MWENYE FAMILIA PENGINE INAMTEGEMEA?, KWANINI HAYA?, KWANINI UNATOA ROHO?, UNAMSAIDIA MUNGU KAZI KWA LAZIMA?, YAANI MUNGU AMESHINDWA KAZI? (KIROHO MNAFAHAMU NAFSI ZINAPOKAA?, BAADA YA MTU KUUAWA?) MTAKUJA KULIPA AIDHA NYIE, WENENU AU VIJUKUU VYENU, DAMU ZA WOTE, ZIWE JUU YENU WAHUSIKA WA HAYA,: A. D. V. C. D. V: The hand that kill deserve no life!
 
Wewe unafikiri wanaondika humu kulaumu huu utekaji ni Chadema tu? Basi kama hizo ndiyo fikra zako basi wewe bwege!
 
HUKU Boniyai anatoa updates kuwa autopsy imekamili Huku Ikulu mawasiliano inatoa Mkeka wa Teuzi



HAtari sana wakuu
 
Wewe ushajitoa kabisaa
Hii Nchi kuna namna ya kuishi..

Mambo kama ya SIASA, kugombania MALI ambazo hazikuhusu, kiherehere kisichokuwa na mbele wala nyuma, mdomo mrefu, kutafuta attention ambazo hazina maana na mengine meeengi ni kujitia alama ya Kifo, anytime unatangulizwa.

Mie nimejiepusha na hayo yote.. naishi kama Mtoto Mchanga ambae hajui hili wala lile..

Majitu yenyewe Matanzania hayana huruma, unayatetea na kujitoa mhanga, siku ukifa wala hayana habari na wewe.
 
Hili jambo lilianza taratibu sana na siku baada ya siku linazidi kukua na mwisho wake hautakuwa mzuri kabisa
 
Hao wanafanya kwa maelekezo ya mama ndio mana unaskia taarabu zake majukwani kua watu wanajiteka...yeye ndio kila kitu ndio mana kwenye vitabu vya dini hakuna nabii mwanamke
Yote hayo ni kupigania madaraka!
Binadamu ni kiumbe chenye ubinafsi wa hali ya juu mno, apate yeye akaose yule, si akose tu ikibidi apotee kabisa nipate mimi!!
Mzee wawatu alikua na familia inayomtegemea kwa namna moja ama nyingine, alikua na matarajio yake kama yuliyo nayo sisi ila ubinafsi wetu umesababisha yote hayo kuzima kama mshumaa ulio zimwa gafla, so pain aisee!
 
Wewe ni mfu- yaani maiti; sasa maana ya kuishi kwako haina maana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…