Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Natakiwa na mimi nikutukane ndio twende sawa ama?We ms3ng3 umeshawahi kusikia Rais akitoa kauli yoyote ya KUTOKOMEZA UDHALIMU huo? Samia na kijana wake Abdul ndio wafadhili wa hayo MAGENGE ya UTEKAJI NA MAUAJI. NI HUZUNI
Sio kila mtu gullible wa kuambiwa kitu na kukubali tu kama unavyotaka. Unatoa baseless accusations halafu unataka tukuamini.
Kwa Sasa sina nguvu ya kutukanana mtu na kujikasirisha for no apparent reasons, wakati nahitaji full concentration kwenye mambo mengine ya maisha.
Sehemu ya kukuwa ni kuelewa pia kuna wasaa mitandaoni unaweza kuwa unabishana mkaanga mihogo mmoja ambae hana mbele wala nyuma kodi yake chumba swekeni tsh 30,000 kwa mwezi.
Kodi yangu ya pango hapa £1500 kwa mwezi bado bills nyingine. Nahitaji kichwa changu katika hali nzuri kama huna uwezo wa kujibizana kwa staha kwaheri.
👋