Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataachaje kuwa na amani kwa maagizo yake?Kwamba mh rais ako na amani kabisa kwa hali hii aisee!
Halafu Mwashambwa na akina Talalila, watakuja na mashairi marefu ya kupongeza na kushangilia mauaji haya yanayofanyika chini ya mkono wa serikali 'sikivu'. Watasema mama ametufikia.Hii serikali dhalimu imeshafanya yake
Km ni kweli umesikia waliomchukua niwale wanaolinda raia na mali zao,nani atawalinda wkt waliomchukua ni watu wanaotakiwa kumlinda?Usalama haupo, swali ni je kifanyike nini dhidi ya yanayoendelea?
Nimeuliza swali hili pia, nini kifanyike?Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
Hao ni vichaa na machiziHalafu Mwashambwa na akina Talalila, watakuja na mashairi marefu ya kupongeza na kushangilia mauaji haya yanayofanyika chini ya mkono wa serikali 'sikivu'. Watasema mama ametufikia.
Inasikitisha😭😭😭Eti mnazo dino nyie wauaji.Ijumaa,jmamos na jumapili mmejazana kwenye nyumba za Ibada huku roho zisizo na hatia zikiwalilia damu zao zikiwa mikononi mwenu ninyi wauaji.Pumzika kwa Amani Bao hakuna atakayeilinda Dunia Sote tunapita.
Mkuu toa muongozo tufanye nini.Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
wananchi tuanze kujilindaHaya mambo yanaumiza sana mkuu, kwa hali hii ya kuchukuliwa hovyo hovyo ni rahisi sana hata wabaya wako kukumaliza.
Mpaka uchaguzi upite tutashuhudia mengi.
Mara nyingi hakuna mwisho mzuri kwa issue kama hizi zikitokea kwenye uongozi wa mtu yoyoteAtaachaje kuwa na amani kwa maagizo yake?
Kama ni hao kwanini wafanye hivyo?Km ni kweli umesikia waliomchukua niwale wanaolinda raia na mali zao,nani atawalinda wkt waliomchukua ni watu wanaotakiwa kumlinda?
Nini kifanyike mkuu? Tunakusikiliza. Maji yameshavurugika.Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Boniface Jacob
Ex-Mayor
0712 239 595