cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Inasikitisha sanaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni la kwanza kabisa tatizo ukiwashinda nguvu wanakugeuzia kibao na utafunguliwa kesi ya kuzuia mamlaka kufanya kazi yake (kumbuka kesi ya Zakalia wa Tarime) na wakikudhiti ndio yanatokea kama haya ya Kibao;wananchi tuanze kujilinda
Ni muhimu ila jiulize ukifuatwa na wanaosema ni watu wa usalama utahofia nini wakati kawaida unakuwa chini ya ulinzi wa uhakika, hii ni kwa wanavyojinadi wao. Ila kwa sasa imekuwa tofauti.wananchi tuanze kujilinda
Mimi ningependekeza ipangwe siku wananchi wote nchi nzima tuandamane kwenda kwenye ofisi za Serikali kulaani mauaji haya yanayoendelea.Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
Inasikitisha sanaNa watu wakiuliwa watu wa upande ule wanafurahia kwao
Wanaona kama ndiyo ushindi
Ova
Ila zakaria alishinda kesi yakeHili ni la kwanza kabisa tatizo ukiwashinda nguvu wanakugeuzia kibao na utafunguliwa kesi ya kuzuia mamlaka kufanya kazi yake (kumbuka kesi ya Zakalia wa Tarime) na wakikudhiti ndio yanatokea kama haya ya Kibao;