TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Inasikitisha sana .

Tukiwachukulia hawa watu kwamba wana imani sana watatumaliza hawa,dah sasa mzee wa watu maskini ya Mungu aliwakosea nini hadi wamuuwe?huyo ana influential gani kama mimi ndiyo kwanza namsikia leo.
 
Eti mnazo dino nyie wauaji.Ijumaa,jmamos na jumapili mmejazana kwenye nyumba za Ibada huku roho zisizo na hatia zikiwalilia damu zao zikiwa mikononi mwenu ninyi wauaji.Pumzika kwa Amani Bao hakuna atakayeilinda Dunia Sote tunapita.
 
 

Attachments

  • IMG-20240908-WA0000.jpg
    65.9 KB · Views: 7
  • IMG-20240908-WA0000.jpg
    65.9 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…