jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Mkuu wakati wanapitisha sheria za kuwalinda wakishafanya mauwaji hukujuwa consequences zake?Kama MTU anatekwa Katikati ya mji, kitovu cha Nchi! Anauwawa na mwili wake unatupwa Jirani tu hapa, je tuko salama kama Nchi?? Who's next? Tunajuaje usalama WA VIONGOZI wetu kama upo? Ununio na magogoni sio mbali, ununio kuna VIONGOZI wakubwa Sana wanaishi huko, je usalama wao ukoje?? Haya wacha tuone who's next....
Mimi wala sishangai.