Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Huu ndio wasiwasi wangu kama serikali inahusika basi inapanda mbegu ambayo ita back fire rai yangu wajisafishe.Wanataka na kuuwa. Wasije laumu wakianza kutekwa na kuuwawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio wasiwasi wangu kama serikali inahusika basi inapanda mbegu ambayo ita back fire rai yangu wajisafishe.Wanataka na kuuwa. Wasije laumu wakianza kutekwa na kuuwawa!
Hukumu ile ile inaendelea.Kawa case study?? Tutegemee nini pay slip?
Nina maana Marehemu Ally Mohamed KibaoKwani Precedent wa haya ni nani ?
Mluu nimestushwa sana na member mwenzetu kujijasirisha na akafungua uzi kuwatuhumu CHADEMA kuwa wanahusika na hivi vifo.Kuna msemo: karma is real.
Kwa kuzingatia huo msemo, kesho na keshokutwa, linaweza kutokea jambo kama adhabu kwa haya yanayoendelea na hamtoweza kuamini.
Binafsi sitaki kuingia ndani sana kuhusu hilo, balli naacha Nature/muda ndio utaamua.
Swali: Yakitokea, mtataka tuungane kuomboleza?
Jibu: Msijidanyanye, watu watashangilia kwani avunacho mtu, ndicho apandacho.
Sawa tu si watakuwa wameamua kuwatoa MBUZI WA KAFARA.unataka kutuaminisha hawajuani?.mbona kesi za simu wanamjua mwizi?.Je wakifanya drama kama zile za Koba wakati ule za kuokoteza watu au na kusema ni mtuhumiwa ili kupumbaza mridhike?
Be smart enough kichezewa shere.
Hizi ni ndoto. Amkeni mfanye jamboHukumu ile ile inaendelea.
Naona kashtuka katoa pole kwa familia, muhimu aache kuwa muoga yeye kama amri jeshi mkuu avunje kikosi kazi husika na ikiwezekana wajulikane na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ili haki itendeke.Hii kitu inamchafua sana Mh. Rasi Mama Samia, asipofanya maamuzi mazito kukemea haya yanayoendelea hii nchi itamfia mikononi mwake.
Very sad new indeed.
Kwa taarifa yako, kilichompata Jiwe nilionya 2015 wakati wanamkejeli Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa.Hizi ni ndoto. Amkeni mfanye jambo
Hakuna nguvu ya dola iliyowahi ishinda nguvu ya umma.Usijekujaribu kuandamana, Hawa watu wamejipanga, Dola ni zao, watawamaliza, ziko njia mbadala za kushughulika nao.
Hata ukianzishwa wewe, mi nipo tayari kuandamana mkuu.Anzisha wewe mkuu na wewe uungwe mkono!
Another sad sad day kwa Watanzania. Haitoshi kwa IGP au Mkuu wa Usalama kuujiuzulu. Waziri wa Mambo ya Ndani ni lazima awe wa kwanza kujiuzulu. Vyombo vya usalama haviwezi kujichunguza.Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Soma Pia:
Boniface Jacob
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Ex-Mayor
0712 239 595
Bahati mbaya hawa mbwa hawawezi kufanya hivyo na very soon watapiga tukio lingine.....Another sad sad day kwa Watanzania. Haitoshi kwa IGP au Mkuu wa Usalama kuujiuzulu. Waziri wa Mambo ya Ndani ni lazima awe wa kwanza kujiuzulu. Vyombo vya usalama haviwezi kujichunguza.