Dar: Aliyedai kuporwa Tsh. Milioni 60 aonesha alipozificha

Si waseme tu walimpelekea gereji kumminya mbupu ? Polisi wa nchi hii hawana historia ya kuexctract ushahidi kwa normal interrogation ya conversation , wao ni always ni kutorture mtu .Akili ya kufanya in-depth investigation physyco analysis kama polygraph tests na kufuatilia character na maelezo ya mshutumiwa / kucollect evidences na kuzi analyse hawana .
 
Nachowapenda polisi wa Ukikanyaga anga zao lazima utaimba lugha hata wewe usioijua
 
Ubaya boss ana chuma ya kikweli angeweza kuwaua wahuni
 
Mwamba katuangusha.
Alishindwa kujipanga mpaka mwisho na kuvumilia kichapo
Ushawahi kuminywa kende zako zikavutwa kwenda chini alafu anaezivuta ni mwanamama mmoja alieshiba anakuminya huku anakubembeleza ueleze ukweli, ukileta ubishi unapigwa virungu vya magotini?
 

Unadhani ushahidi dunia nzima unapatikana kwa maongezi? Au unadanganywa na watu wa haki za binadamu? Halafu polisi japo wana madhaifu lakini kwenye kudeal na wahalifu wao hua wana ushahidi kabisa, na ndio maana kipindi cha magu walitumia elimination method unafuatwa kwako unapotezwa kimyakimya kama sio jambazi na haufanyi uhalifu kamwe hao askari hutokutana nao,
 
Jamaa alikosea kuchora mchoro. Nasisitiza unapotaka kufanya tukio la janja janja au kama ilo nenda kajikabidhi kwa polisi kwanza. Wao ndio watakusaidia namna ya kuishi kimaster.

Pia jamaa anaonekana anamkono mfupi alitaka kula million 60 peke yake
Ila kwwli
 

Matukio ya ujambazi yanayotokea polisi wanakuwa na taarifa zake mapema kabisa na baada ya tukio wanakula mgao wao!! Cha kushangaza waliona hawakuwa na taarifa yoyote ambayo walipewa mapema na "washirika wao" hivyo wakajua kwamba ni uongo.
 
Kuna afande huwa anasema hata vijana wa arusha walioshindikana waliokuwa wasumbufu kwa serikali na waandamanaji kuna jambo walofanywa ndo maana huwakuti tena barabarani wakiandamana

Litakua jambo zuri hadi wanatulia kabisa
 
Kwa kuongezea tu,kwenye hiyo script kuwe na begi ambalo halina pesa, pesa zifichwe kabla ya hayo maigizo
 
Huyu jamaa hopeless kabisa!
Si bora hata angekodi majambazi original wakaandaa script angepigwa hata ka risasi ka bega na watu wasingestukia kuliko kufanya upuuzi kama huu anakamatwa kizembe sana
Unapigwa hata ya bega hivi,halafu unawatoa 10M wanasepa zao.
Hata unakatwa mkono unashindwa unafungwa pop maisha yanasonga baada ya mwaka unapona.
 
Mimi sio askari ila huyo muhasibu story yake nisingeikubali..

Jambazi huwa hapotezi muda, sasa jambazi gani atembee na muhasibu kwenye gari mpaka akamtupe mbele mbele bila kumuua
Jamaa fala sna ilibd tukio lipigwe kweli watu wale vyuma mpunga usepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…