Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Hii ni ccm halisi,hile ya yule chizi wenu ilikuwa ccm ya washamba,ccm haijawahi kufanya nje ya maslahi yake.
Chama Sasa kimerudi kwa wenyewe ,na hatutokaa tufanye makosa yakuwakabidhi chama washamba na wenye roho za kishetani