Nakumbuka Kauli ha CDF siku ile Chato. Mama Sisi tutakulinda.
Nilikuwa namsikiliza Waziri wetu wa ulinzi Stagomera Tax akisoma risala kwa hao macammandant!!! Naamini kwa dhati kabisa kuwa Rais Samia hakushauriwa vizuri kumteua huyu mama katika nafasi hiyo; huyu mama alipaswa awe waziri wetu wa FEDHA na hapo ulinzi angeteuliwa mwanaume mwingine kwa kuzingatia mapana makubwa ya utamaduni wetu katika mambo ya vita!!!