Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Hii ni ccm halisi,hile ya yule chizi wenu ilikuwa ccm ya washamba,ccm haijawahi kufanya nje ya maslahi yake.
Huko haina mvuto, unakumbuka vile vi sketi vya trafic zamani mie ndio naongelea huko.. usiendelee kufukunyua fukunyua nisije onekana mtovu wa nidhamuNimecheka dah watu hamna Dogo. Akienda kutembelea Mahututi au maiti Mortuary avae nini?
sio wote wapo chini yakeWachaaa Traffic Police af aende JW?
Walikua wanapenda sana sana, nasikia kwa sasa Russia ndio wanaopendeza zaidiHuko haina mvuto, unakumbuka vile vi sketi vya trafic zamani mie ndio naongelea huko.. usiendelee kufukunyua fukunyua nisije onekana mtovu wa nidhamu
piga picha mama angekuwa ndani ya zile nguo yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Walikua wanapenda sana sana, nasikia kwa sasa Russia ndio wanaopendeza zaidi
Kama hawa hapa?Huko haina mvuto, unakumbuka vile vi sketi vya trafic zamani mie ndio naongelea huko.. usiendelee kufukunyua fukunyua nisije onekana mtovu wa nidhamu
Ila gwanda zina raha yake aisee.....
Heshima kidgo mkuuHuyu kifutu mfupi ni nani?
Walikuwa wanajielewa na kujiamini.Hivi kwa nini mkapa,mwinyi & Nyerere hawakupenda kuvaa hizo gwanda
Lakini Rais si Amiri jeshi mkuu!!??..i.e na yeye ni MwanajeshiUkiona raisi anavaa nguo za jeshi wakati hana chembe chembe ya uanajeshi katika historia yake ujue madaraka yameshamnogea
Hii ni ccm halisi,hile ya yule chizi wenu ilikuwa ccm ya washamba,
Chama Sasa kimerudi kwa wenyewe ,na hatutokaa tufanye makosa yakuwakabidhi chama washamba na wenye roho za kishetani
Umeisoma na uielewa vizuri comment yangu?Lakini Rais si Amiri jeshi mkuu!!??..i.e na yeye ni Mwanajeshi
Mkuu kwanini tuone ajabu yeye kuvaa gangwa za kijeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, ila siku moja moja kama siyo lazima inakuwa PoaRaha yake nn , inawez ikawa interest ya muda mfupi kwakuw haupo kwa mfumo
Ila kiufup kwa 94% wengi baadae huchoshwa na kuvaa uniform za kazi hasa unapokuw maeneo mchanganyiko ukiw unapta alone huw haui comfortable.
Nimeisoma na kuielewa..Umeisoma na uielewa vizuri comment yangu?
kaziiendelee mamaRais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho.
View attachment 2011024
https://www.facebook.com/
Uliliona lile la Tours akitengeneza filamu?Gwanda na hilo tumbo nani kamshauri vibaya,