Nakumbuka Kauli ha CDF siku ile Chato. Mama Sisi tutakulinda.
Na wewe kwa kunyonya k! hujambo.kaziiendelee mama
Lakini Rais si Amiri jeshi mkuu!!??..i.e na yeye ni Mwanajeshi
Mkuu kwanini tuone ajabu yeye kuvaa gangwa za kijeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aige na kupiga push up itapendeza sana.Anaiga kila kitu cha jiwe.
Raha yake ni kitu gani?Ila gwanda zina raha yake aisee.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika CCM ni ile ile dadeeeeki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tanzania kila kitu huwa kina part 2 yake hivyo hata Hangaya nae ni version mpya ya Mwendazake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anaiga kila kitu cha jiwe.
Hangaya alishasema yeye na Jiwe kitu kimoja😃😃Anaiga kila kitu cha jiwe.
Hahaha hapo yupo jeshini la wananchi na sio kwa akina pgoMama kama mamaaa... angevaa za trafic police zingempendeza zaidi
Kuwa na adabu kijana, huyo ni kama Mama au Bibi yako, ni Rais wa nchi pia. Mibangi yako haitakusaidia utapowekwa kizuizini.Huyu kifutu mfupi ni nani?
Makomando wa Chadema au!!??Atuambie kwanini makomando wetu hawathaminiwi? Wanafukuzwa kazi kwa sababu za ajabuajabu kabisa