Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

Hili swali ungeuliza kipindi kile msukuma mwenzenu anavaa hizo gwanda tungekupa jibu!!

Sukuma Gang mna chuki
Hii ya the Sukuma gang is a myth...ila Kuna gang ya ukweli ambayo imeitafuna nchi hii kwa miaka mingi tangu enzi za Nyerere mpaka JK...gang hili lilijazana TRA, Hazina, Bandari na sekta zote za umma zenye fedha...utajiri walio nao ni wa wizi wa Mali za umma...alipokuja JPM akasawazisha mambo kwa kiasi Fulani na ndipo yakaanza kulia...gang hili lilikuwa halilipi Kodi na hata tenda za serikali yalikuwa yanapeana yenyewe...Hilo ndilo gang la ukweli na Wala siyo the so called Sukuma gang...it is just a myth..
 
Leo nimefurahi Sana kwa hakika ...Rais wangu na Commander in Chief of our Armed Forces in military uniform and in full command......bravo bravo...
 
Walikuwa wanajielewa na kujiamini.
Nyerere alikuwa anavaa na hasa wakati wa Vita vya Kagera...akienda Frontline alikuwa anavaa...ila Mwinyi na Mkapa sikuwahi kuwaona kwenye military uniforms....JK nilimuona kwenye military uniforms akiwa jeshini
 
Ukiona raisi anavaa nguo za jeshi wakati hana chembe chembe ya uanajeshi katika historia yake ujue madaraka yameshamnogea
Ukiwa Rais tu ni zaidi ya mwanajeshi.....

Hushangai mkuu wa Majeshi ya ulinzi haitwi AMIRI JESHI isipokuwa ni rais tu?!!!!

Siempre SSH💪
 
Duh...nimecheka Sana aisee...
 
Kwani waziri wa ulinzi anahusika na mambo ya Vita?!!!

Huyo ni daraja Kati ya Jeshi na serikali kiutawala.......
 
Hii ni ccm halisi,hile ya yule chizi wenu ilikuwa ccm ya washamba,

Chama Sasa kimerudi kwa wenyewe ,na hatutokaa tufanye makosa yakuwakabidhi chama washamba na wenye roho za kishetani
Ilikuaje wajanja na ujanja wao wote wakakanidhi chama kwa washamba?
 
Kuwa na adabu kijana, huyo ni kama Mama au Bibi yako, ni Rais wa nchi pia. Mibangi yako haitakusaidia utapowekwa kizuizini.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Watu wa aina hii enzi za Nyerere anawapeleka huko remote areas na kukaa huko for 20 years...stupid guys...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…