Dar: Anayedaiwa kumuua mwanafunzi wa UDSM akamatwa, akiri kufanya tukio hilo

HONGERENI JESHI LETU, MTU WA AINA HII WA NINI SASA.....!
 
Sasa kufungwa miaka 30 na kuachiwa kwa rufaa kwani ushahidi ulikuwa na shaka.

Sometimes polisi wakiamua wanaweza.
 
Hujui.l wewe mara ingine mtuhumiwa kusema twende nikawaonyeshe wengine tunaoshirikiana nao walipojificha
Kumbe Muongo anataka kutoroka
Yes mkuu ila kuna tatizo kubwa na police wetu, huyu ni suspect wa ujambazi na uuaji why aongozane na police bila ya kufungwa pingu hasa za miguuni?,hapo kwangu nimeona trigger happy police, ndio maana hili jeshi lifumuliwe na tuanze upya, tukio hili police wangekua no suspect wa mauaji ,ninahitaji IPID ndani ya jeshi hili
 
Huwa wanapewa mawakili wa serikali kuwatetea. It happens so many times and it is an established rule of law to provide them with legal assistance in case one can not afford one of his own!
Hatujafika level hizo.
 
Afande Mulilo, ina maana mlimpeleka bila kumtia pingu? Eleza ukweli kwamba hamkutaka kusumbuana mahakamani maana anaweza kutoka kwa technicalities
We ulitaka afanikiwe kutoroka au ulitaka afanikiwe kuachiwa tena mahakamani kwa technicality?
 
IPO HAJA BODABODA ZIPANGIWE MUDA WA KAZI, SAA 12 ASB MPAKA SAA 3 USIKU, BAADA YA MUDA HUO INAYOONEKA IPEWE KIBANO NA ITOE MAELEZO SAHIHI YA KUELEWEKA,
BODABODA ZA BIASHARA WAENDESHAJI WOTE WAWE NA KAVAZI MAALUM KENYE NAMBA MGONGONI, NA KIBALI KINGINE MAALUM CHA UTAMBULISHO JUU YA MWENDESHA BODABODA NA MDHAMINI WAKE MMOJA MWAJIRIWA SEREKALINI.
 
Voda fasta ..huku walifanya tukio mchana bahati mbaya au nzuri pt iko nyuma na barabara ina mitaro pande zote mirefu .. boda boda cc 150 inavutwa haitembei mbele ya cruza ...walipewa ngao moja kila mtu analia kwa staili yake huko mtaroni
 
Kwa nini unaamini polisi wamesema ukweli ?
 
Mtu kaua halafu polisi wanamchekea.

HUO NI UPUMBAVU WA KIWANGO CHA JUU
 
Afande Mulilo, ina maana mlimpeleka bila kumtia pingu? Eleza ukweli kwamba hamkutaka kusumbuana mahakamani maana anaweza kutoka kwa technicalities
Hili swali kama ungemtupia kama uko naye lazima angepatwa na kigugumizi na kutokwa na kijasho flani hivi cha hofu...
 
Hatujafika level hizo.
level ipi? sijakuelewa? kwani hujui kuwa serikali inawawekea advocates watu, hasa kesi kama za mauaji watuhumiwa ambao hawana mawakili? siyo civil cases, NO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…