Dar: Anayedaiwa kumuua mwanafunzi wa UDSM akamatwa, akiri kufanya tukio hilo

mbona hakuna Sheria inayokataza mwisho wa kutembea usiku.
Kikubwa usivunje Sheria za nchi.
Nchi HURU.tusiwekeane mipaka
Ila huyo polisi aliyempiga risasi ya paja HANA SHABAHA
Mkuu kuna danger zones kama Mburahati, Tandika, Tabata kisiwani n.k
 
How kapona huyu? Vibaka wametamalaki kila kona, anzeni fyeka fyeka wakanywe na mama zao kama wanataka kuishi.
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
 
sasa polisi wakaona waendelee kumlinda mtuhumiwa kwa kumjeruhi tu na risasii matumizi mabaya ya bundukii...alitakiwa achakeeee
 
Mkuu kwangu police hapa wameongopa,hakuna ukweli hapa kabisa ,huwezi kwenda site na suspect (murder)bila back up ya kutosha au bila pingu za miguuni, it's craze wenzetu mpaka wanatumia tag kwa suspect
And millions of Tanzanians believed that story, that's the tragedy. Sad statement about us more than the police.
 
Polisi wangenalizana naye kuliko kwenda kumlisha bure
 
Sasa kufungwa miaka 30 na kuachiwa kwa rufaa kwani ushahidi ulikuwa na shaka.

Sometimes polisi wakiamua wanaweza.
Kesi ikishafika mahakamani,polisi hausiki tena
Kesi zinamichezo mingi pia

Ova
 
Aliachiwa baada ya mzee baba kupumzika... Huu msimu wa mtemi hangaya miyeyusho
Mtu kuhukumiwa miaka 30 anakaa mwaka 1 anatoka haijaanza leo
Wahalifu wakiwa na kesi wana mbinu
Nyingi

Ova
 
Murder case, no discussion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…