Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Naona pamekua trending Sana hapo Jana nilipita hapo kukwepa foleni ya rang3

Kulikua na walinzi wengi Sana hilo eneo Jana nikasikia watu wanasema Kuna uzinduzi of course kwa Sasa mbagala kumedamshi Sanaa

Mbagala Kuna UHUNI mwingi Sana na hata ukienda hizo sehemu zao za starehe ukiwa na pesa nyingi kaa ki machale machale hawakaii kukumixier madawa ya kulevya ama ugolo wakakusachi ukaibiwa pesa zako

NB.
Hope kutakua na camera zitakua zilichukua footage kwaio upelelezi utapata pa kuanzia

Alazwe pema peponi kamanda.
Mbagala sio sehemu salama sana kwenda kwenye ma bar usiku kuna sehemu niliwahi fika panaitwa kuzimu asee nyie mbagala pasikie tu kuna kila uchafu apo police wanafata rushwa kila week, kuna kila dhambi apo apafai kabisa nakumbuka alikuja shoga kunitaka kimapenzi nikamwambia kunywa bia nikalipa nikaondoka.
 
Sio sehemu za kwenda kichwa kichwa Kuna umafia mwingi..Kuna watu walishaga kufa zamani wamebaki na viwili wili..
 
Back
Top Bottom