Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

TAREHE 06.10.2024 SAA 10:00 (USIKU) MAENEO YA BAR INAYOJULIKANA KITAMBAA CHEUPE-NJIA PANDA NZASA,ASKARI NAMBA J.3297 PC.BARNABA ANDREA MHONYA,30 YRS,MGOGO,MKAZI WA CHAMAZI NA ASKARI WA JESHI LA POLISI TANZANIA ALIUWAWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA KWA KUMJERUHI NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.**INAELEZWA KUWA MAJIRA YA SAA 10:00 (USIKU) MAREHEMU AKIWA MAENEO YA BAR YA KITAMBAA CHEUPE ALIVAMIWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA AMBAO WALIMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO NA KUPELEKEA KIFO CHAKE.**KIINI CHA TUKIO KINACHUNGUZWA.**MBINU NI KUMVIZIA MAREHEMU AKIWA UCHOCHORONI NA KUMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI.**MAREHEMU AMEKUTWA NA MALI ZAKE ZOTE NA ANA JERAHA MOJA LILILOTOKANA NA SILAHA YENYE NCHA KALI LILILOPO KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA KILWA ROAD KWA UCHUNGUZI ZAIDI.WAFANYAKAZI WA BAR WATANO WAMEKAMATWA KWA MAHOJIANO NA UCHUNGUZI ZAIDI.
Source:Fortunatus Buyobe Twitter account
N.B:Kifo ni kifo tu ndugu zangu Wana JF,isije hiki ndio kiwe maarufu,pia tuwapongeze polisi wanafanya kazi nzuri sana,uharifu umepungua
Sasa mmoja na wa cheo cha chini hivyo!
Wangelikufa 3567+ sawa tena wa vyeo vya jujuuuuu.
 
Si umesoma hapo, wamekamatwa watu watano kwa uchunguzi zaidi,

Kule kwa Mzee Kibao kimya Hadi sasa, ngoja tuendelee kusubiri pengine waliomuuwa watapatikana Inshallah,
Kule kwa mzee kibao Boni yai ndiyo anachelewesha uchunguzi, kagoma kabisa kutoa codes za simu zake, na inaonekana kuna kitu kimo mule kuhusu mchoro mzima wa mzee kibao ndiyo maana hataki kutoa!!
 
Kuna raia anaweza kugombea polisi wa kibongo, Tena kwenye kesi kubwa kama hiyo?

Mbona anashtakiwa kwa uchochezi, hayo ya Mzee Kibao umeyatoa wapi?

Je kama asipotoa hizo code, inamaana wauaji hawatapatikana?
 
Tunataka code full stop!![emoji113] kama hakuna tunacho kitaka,tunaachana na wwe kwa usalama tu!!
 
TAREHE 06.10.2024 SAA 10:00 (USIKU) MAENEO YA BAR INAYOJULIKANA KITAMBAA CHEUPE-NJIA PANDA NZASA,ASKARI NAMBA J.3297 PC.BARNABA ANDREA MHONYA,30 YRS,MGOGO,MKAZI WA CHAMAZI NA ASKARI WA JESHI LA POLISI TANZANIA ALIUWAWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA KWA KUMJERUHI NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.**INAELEZWA KUWA MAJIRA YA SAA 10:00 (USIKU) MAREHEMU AKIWA MAENEO YA BAR YA KITAMBAA CHEUPE ALIVAMIWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA AMBAO WALIMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO NA KUPELEKEA KIFO CHAKE.**KIINI CHA TUKIO KINACHUNGUZWA.**MBINU NI KUMVIZIA MAREHEMU AKIWA UCHOCHORONI NA KUMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI.**MAREHEMU AMEKUTWA NA MALI ZAKE ZOTE NA ANA JERAHA MOJA LILILOTOKANA NA SILAHA YENYE NCHA KALI LILILOPO KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA KILWA ROAD KWA UCHUNGUZI ZAIDI.WAFANYAKAZI WA BAR WATANO WAMEKAMATWA KWA MAHOJIANO NA UCHUNGUZI ZAIDI.
Source:Fortunatus Buyobe Twitter account
N.B:Kifo ni kifo tu ndugu zangu Wana JF,isije hiki ndio kiwe maarufu,pia tuwapongeze polisi wanafanya kazi nzuri sana,uharifu umepungua
Kifo ni kifo tu.

RIP afande Barnaba Andrew Mhonya
 
Back
Top Bottom