Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Wapi nilipo jitambulisha kama msemaji wa jeshi la polisi!? Achaa kunilisha maneno, mimi nimesema tunataka code,haya wapi nimekwambia naongea kama msemaji wa jeshi la polisi!!??
Unataka code uzifanyie nini, kama sio mmoja ya wanaochunguza tukio hilo,

Tena unajipa mamlaka ya kusema kama hajawapa hizo code mnaachana na hilo suala,
Wapi nilipo jitambulisha kama msemaji wa jeshi la polisi!? Achaa kunilisha maneno, mimi nimesema tunataka code,haya wapi nimekwambia naongea kama msemaji wa jeshi la polisi!!??
 
TAREHE 06.10.2024 SAA 10:00 (USIKU) MAENEO YA BAR INAYOJULIKANA KITAMBAA CHEUPE-NJIA PANDA NZASA,ASKARI NAMBA J.3297 PC.BARNABA ANDREA MHONYA,30 YRS,MGOGO,MKAZI WA CHAMAZI NA ASKARI WA JESHI LA POLISI TANZANIA ALIUWAWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA KWA KUMJERUHI NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.**INAELEZWA KUWA MAJIRA YA SAA 10:00 (USIKU) MAREHEMU AKIWA MAENEO YA BAR YA KITAMBAA CHEUPE ALIVAMIWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA AMBAO WALIMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO NA KUPELEKEA KIFO CHAKE.**KIINI CHA TUKIO KINACHUNGUZWA.**MBINU NI KUMVIZIA MAREHEMU AKIWA UCHOCHORONI NA KUMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI.**MAREHEMU AMEKUTWA NA MALI ZAKE ZOTE NA ANA JERAHA MOJA LILILOTOKANA NA SILAHA YENYE NCHA KALI LILILOPO KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA KILWA ROAD KWA UCHUNGUZI ZAIDI.WAFANYAKAZI WA BAR WATANO WAMEKAMATWA KWA MAHOJIANO NA UCHUNGUZI ZAIDI.
Source:Fortunatus Buyobe Twitter account
N.B:Kifo ni kifo tu ndugu zangu Wana JF,isije hiki ndio kiwe maarufu,pia tuwapongeze polisi wanafanya kazi nzuri sana,uharifu umepungua
Sijui kwa nini akifa police Bongo huwa watu wanafurahi!
 
Mmmh kabla ya kuandika uwe unauliza details na namna ya kuandika vzur mara PC,baranaba mara askar wa jwtz ,iweje jwtz iwe tea police constable?
 
TAREHE 06.10.2024 SAA 10:00 (USIKU) MAENEO YA BAR INAYOJULIKANA KITAMBAA CHEUPE-NJIA PANDA NZASA,ASKARI NAMBA J.3297 PC.BARNABA ANDREA MHONYA,30 YRS,MGOGO,MKAZI WA CHAMAZI NA ASKARI WA JESHI LA POLISI TANZANIA ALIUWAWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA KWA KUMJERUHI NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.**INAELEZWA KUWA MAJIRA YA SAA 10:00 (USIKU) MAREHEMU AKIWA MAENEO YA BAR YA KITAMBAA CHEUPE ALIVAMIWA NA MTU/WATU WASIOJULIKANA AMBAO WALIMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO NA KUPELEKEA KIFO CHAKE.**KIINI CHA TUKIO KINACHUNGUZWA.**MBINU NI KUMVIZIA MAREHEMU AKIWA UCHOCHORONI NA KUMCHOMA NA SILAHA YENYE NCHA KALI.**MAREHEMU AMEKUTWA NA MALI ZAKE ZOTE NA ANA JERAHA MOJA LILILOTOKANA NA SILAHA YENYE NCHA KALI LILILOPO KATI YA SHINGO NA BEGA LA KUSHOTO.MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA KILWA ROAD KWA UCHUNGUZI ZAIDI.WAFANYAKAZI WA BAR WATANO WAMEKAMATWA KWA MAHOJIANO NA UCHUNGUZI ZAIDI.
Source:Fortunatus Buyobe Twitter account
N.B:Kifo ni kifo tu ndugu zangu Wana JF,isije hiki ndio kiwe maarufu,pia tuwapongeze polisi wanafanya kazi nzuri sana,uharifu umepungua
Hizo ni drama tu za polisi kuigiza.
 
Back
Top Bottom