Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Mbagala sio sehemu salama sana kwenda kwenye ma bar usiku kuna sehemu niliwahi fika panaitwa kuzimu asee nyie mbagala pasikie tu kuna kila uchafu apo police wanafata rushwa kila week, kuna kila dhambi apo apafai kabisa nakumbuka alikuja shoga kunitaka kimapenzi nikamwambia kunywa bia nikalipa nikaondoka.
 
Sio sehemu za kwenda kichwa kichwa Kuna umafia mwingi..Kuna watu walishaga kufa zamani wamebaki na viwili wili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…