Katika nchi maskin kama tanzania mtu yupo tayari akanywe safari lager moja kwa elfu 10 badala ya bei halisi ya 1,800 ili tu nae aonekane tajiri na apige picha na mademHapo Kitambaa bei ni elekezi au wanatupiga kama Wavuvi?
Sijawahi kuuwa hata sisimiziSERIKALI YA MKOA WA DSM IITUPIE JICHO BAR MAARUFU YA KAVESU KINYEREZI INA MATUKIO YANAYOFANANA NA HII
Kuna watu wanaishi huko Tabata kumbe!Tabata tupewe maua yetu hakuna washamba.. hivi mtu unaendaje kula bata mbagala?
Alikuwa lindoni, hili eneo palipo hii bar panaitwa uwanja wa maninja, ngoja niishie hapaKachomwa na malaya huyo! Unakula mbususu yake harafu unamletea ubabe wa kijinga.
Sehemu za starehe nyingi zimekuwa za hovyo.Sehemu ya ovyo kabisa
Ova
We na usomi wako unafanya nini ndugu.?? Acha kebehi zisizo na msingi.. kumfungulia boss mlango ni shida... au usomi kwako ni uboss.. ndiyo ninyi mnaofanya vijana washindwe kujiajiri au kuchagua kaz kisa amesoma..Wasomi kulinda bank mlangoni na kufungua milango ya mabosi.
Si unajua vijana wa mkoa tena kila kitu wanakijuaNimeshangaa uzee umenianza lini kiasi kwamba nisijue kama kuna kitambaa cheupe keinyamala
Kwa kibao ilikuwa barabarani ulishauri wawakamate nani pale?Si umesoma hapo, wamekamatwa watu watano kwa uchunguzi zaidi,
Kule kwa Mzee Kibao kimya Hadi sasa, ngoja tuendelee kusubiri pengine waliomuuwa watapatikana Inshallah,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Si unajua vijana wa mkoa tena kila kitu wanakijua
Hebu acha uongo.Unavyotembea na kukanyaga ardhi huwa unaona unavyovikanyaga?Sijawahi kuuwa hata sisimizi
Mmmhh!Tarehe 06.10.2024 saa 10:00 (usiku) maeneo ya bar inayojulikana Kitambaa Cheupe, njia panda Nzasa, askari namba J.3297 PC. Barnaba Andrea Mhonya (30 yrs) mkazi wa Chamazi na askari wa Jeshi la Polisi Tanzania aliuwawa na mtu/watu wasiojulikana kwa kumjeruhi na silaha yenye ncha kali kati ya shingo na bega la kushoto.
Inaelezwa kuwa majira ya saa 10:00 (usiku) marehemu akiwa maeneo ya bar ya kitambaa cheupe alivamiwa na mtu/watu wasiojulikana ambao walimchoma na silaha yenye ncha kali kati ya shingo na bega la kushoto na kupelekea kifo chake. Kiini cha tukio kinachunguzwa.
Pia soma: Zanzibar: Askari wa JKU auawa, mkuu wa kituo cha polisi ashambuliwa
Mbinu ni kumvizia marehemu akiwa uchochoroni na kumchoma na silaha yenye ncha kali. Marehemu amekutwa na mali zake zote na ana jeraha moja lililotokana na silaha yenye ncha kali lililopo kati ya shingo na bega la kushoto.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya kilwa road kwa uchunguzi zaidi. Wafanyakazi wa bar watano wamekamatwa kwa mahojiano na uchunguzi zaidi.
Source: Fortunatus Buyobe Twitter account
NB: Kifo ni kifo tu ndugu zangu Wana JF, isije hiki ndio kiwe maarufu, pia tuwapongeze polisi wanafanya kazi nzuri sana, uharifu umepungua.
Matukio mengine yanayohusu watu wasiyojulikana soma: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Habari hii inaacha mashaka makubwa sana. It looks like a special mission.Tarehe 06.10.2024 saa 10:00 (usiku) maeneo ya bar inayojulikana Kitambaa Cheupe, njia panda Nzasa, askari namba J.3297 PC. Barnaba Andrea Mhonya (30 yrs) mkazi wa Chamazi na askari wa Jeshi la Polisi Tanzania aliuwawa na mtu/watu wasiojulikana kwa kumjeruhi na silaha yenye ncha kali kati ya shingo na bega la kushoto.