Wewe kafiri askofu wako Yupi?Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Anajua anayemtumikia, naye hanaga hiari bali lazima...neno linasema, ataonekana kama kondoo lakini anaongea kama joka...Chanjo ni hiari ya mtu, mbona anataka kuingilia maamuzi ya Mapadre ? Ingekuwa busara angewaomba.
Hutasikia mgogoro ndani ya wakatoliki.Hata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi!
Anawatafuta nini mapadre kama si kulazimisha mgogoro sababu tu ya chanjo? Chanjo imelipasua baraza la maaskofu Calfonia, akasome hiyo habari ili aongozwe kwa hekima.
Ndio nasema hamjui Ukatoliki ndio maana wengi hutukana wasichojua. Kama msimamo wa papa si msimamo wa Kanisa Katoliki itakuwa Askofu? Unafikiri Papa anaweza kusema ushoga ni halali alafu useme ni msimamo wa Kanisa Katoliki?Bro experience ya ant vaccine protest inayo. Kama mtu unafuatilia juzi Papa aliwaasa watu kuwa chanjo ni salama na ishara ya upendo utesema Papa katoa msimamo wake binafsi au amekuwa manipulated na watu wachache...
Wachungaji wa mshahara wanajulikana...Anadhani ana mamlaka zaidi ya Mungu mwenyewe...Hata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi....
Wewe ndo utampinga ukiwa chumbani na mkeo, mapadri syo wacheza ngoma za kizaramoUsichanganye Ukatoliki na agizo la Askofu labda hujui Ukatoliki ni nini! Hilo ni agizo lake binafsi kwa muono wake.
He is very wrong bora angekaa kimya na wengine tulifikiri ukimya wao una ujumbe au pengine kuna utafiti wanafanya maana nyenzo wanazo.
Mimi binafsi sikubaliani nae! Kwa ufupi hili agizo na namna alivyolitoa kama umesikiliza mapadre watampinga... Mark my word.
Agizo la jumla la Serikali ni watu kuwa na uhuru wa kuchanjwa, lakini maelekezo ya taasisi mbalimbali, yapo chini ya taasisi zenyewe.Chanjo ni hiari ya mtu, mbona anataka kuingilia maamuzi ya Mapadre ? Ingekuwa busara angewaomba.
Hutasikia mgogoro kama agizo lake litaishia huko alipotamka lakini akilazimisha tutarudi hapa kujadiliana...Mark my wordHutasikia mgogoro ndani ya wakatoliki.
Mtabwata ninyi makafiri kama gwajima.
Wakatoliki ni level nyingine
Soma, sikiliza ili uelewe. Kuna mahali Askofu amesema mapadre waache utoto.Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Kwani wapi nimesema "we" vipi wewe?Uko disappointed wewe mwenyewe. Ruwaichi msimamo wake dhidhi ya Corona aliuweka wazi, Mpaka JPM akamnanga Kiaina.. Jamaa alishahimiza sana Tahadhari dhidhi ya covid kitambo.. Huu ni muendelezo
Bro uwe unafuatilia mbona Papa kashazungumza on behalf kuwa watu wachanje kwani chanjo ni salama na ishara ya upendo. I wish you could be informedHata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi...
Mzee mimi nalala na kuamkia kwenye habari za Kanisa. Tofautisha ushauri na agizo, Papa ameshauri hajatoa agizo! Agizo maana yake ni lazima na Padre ambaye hatochanja maana yake hamtii askofu wake! Akitoka kwa mapadre atatoa agizo kwa waamini wote! Kitu gani hiki?bro uwe unafuatilia mbona Papa kashazungumza on behalf kuwa watu wachanje kwani chanjo ni salama na ishara ya upendo. I wish you could be informed
Kumbuka huyu ni rais wa TecNi mapadre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, hao ndio wapo chini ya mamlaka yake. Ingekuwa ni agizo la TEC hapo ndio ingekuwa mapadre wote nchini
Kusudi wasio na busara wasaidiwe tu kuwa na busara!Chanjo ni hiari ya mtu, mbona anataka kuingilia maamuzi ya Mapadre ? Ingekuwa busara angewaomba.
Nani amekwambia ni Rais TEC? Alafu agizo ili liwe ni la TEC lazima liwe limeridhiwa na maaskofu wote na kutolewa kama tamko la baraza. Hili ni tamko kwa mapadre wa jimbo lakeKumbuka huyu ni rais wa Tec
Yule "bwana mropokaji" alishawahi KUMSHAMBULIA kwa maneno mabaya mwadhama Askofu msomi....
Sasa tunasubiri tena amshambulie msomi baba Askofu Ruwaichi...
Hapana mkuu! Wewe ni Mkatoliki? Ulipaswa kumjua Rais wa TEC kama ni kweli, vinginevyo utakuwa sio. Rais wa TEC ni Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la MbeyaKumbuka huyu ni rais wa Tec