Mkuu achana na hilo zwazwa.Ila wewe nae ni mjinga, aliyekwambia chanjo hii ya Corona inazuia kupata Corona na kuambukiza wengine ni nani?
Acha uzuzu, huwezi kuamua juu ya mwili wa mtu mwingine, especially watu wazima wenye uwezo wa kupambanua na kufanya maamuzi.
Una maswali ya kindergarten sana.Ficha ujinga-Mtu aliyechanja anaweza ambukiza wengine.Chanjo inapunguza Risk ya kifo kutokana na CORONA kwa aliyechanja kwa 100percent.Science inataka tuchanje na tuvae barakoa pamoja na kuchukua other precautions ili ku-control transmission sababu majority of the world population ikiwemo wazee bado hawajachanja.Simple as that.Ila wewe nae ni mjinga, aliyekwambia chanjo hii ya Corona inazuia kupata Corona na kuambukiza wengine ni nani?
Acha uzuzu, huwezi kuamua juu ya mwili wa mtu mwingine, especially watu wazima wenye uwezo wa kupambanua na kufanya maamuzi.
Wewe njoo na ID hata 10,lakini wewe bado ni rubbish.Mkuu achana na hilo zwazwa.
Waabudu sanamu ndiyo zao...Wanasahau uzima wa milele kwa miaka michache ya dunia hii mbaya na iliyojaa uasiwakishapata chanjo unawapa uhakika wa kuishi miaka mingapi ?
aise dunia ina mambo ...
Hawawezi kukuamini...Sema tu ni maagizo Toka Roma.
Wewe mwenyewe unajua ukweli hata ukichanjwa Corona itakuua tu.
Wafanyabiashara maarufu waliokufa karibuni kwa nature ya kazi zao,ni ukweli usiopingika kuwa walichanjwa lakini Israel amewapitia.
Wanakuwa na self denial...Wanatamani tuwe wengi ili hata likitokea chakutokea basi tuwemo wengi....nilichogundua ni kuwa mtu ukisha_chanjwa inakuwa syo akili yako
nina rafika angu kachanja kila kukichi ananilazimisha kuchanja ni kama convincing power wanapata pengine ndo mnyama mwenyew
Papa ni mwanadamu kama Diamond Platinumz.Wachanje tu maana hata Papa amesisitiza watu wachanje.
Sisi wengine haituhusu
Mkono wa Mwenyezi MUNGU ukuelemee wewe na familia yako.AminaHuyu baba ni yule ambae aliumwa na kufanyiwa upasuaji wa kichwa?
Mkono wa Mwenyezi MUNGU ukuelemee wewe na familia yako.Amina
"Hii itakusaidia kuelewa kwamba,ugonjwa haudhihakiwi kwa namna yeyote licha ya tofauti za kibinadamu"
Ila ana mamlaka na ushawishi kuliko hata maraisi nchini mwao wenyewe so unamfanishaje na diamondPapa ni mwanadamu kama Diamond Platinumz.
Sio watu wote huzaliwa hospital, Kuna jamii Kama za wamasai, wasandawe ,wahdzabe n.k hawajui hospital ikojeKwa hiyo kama chanjo ni hiari,inampa mtu hiyari ya kuambukiza wengine? wewe ulichanja polio kwa hiari? Rubbish
Ndiye.Huyu baba ni yule ambae aliumwa na kufanyiwa upasuaji wa kichwa?
Jitahidi kuwa mvumilivu mkuu, kama mtu akitukana achana nae. Ni kawaida ya mwanadam kuwa na subjective instinct hata mwendazake alikuwa subjective sana ndo maana alichukia hata waliokuwa wanamuelekeza na waliposoma upepo wakageuka vikaragosiWewe njoo na ID hata 10,lakini wewe bado ni rubbish
Kama wangekuwa na akili wangeaminiwa na kuachwa waamue kwa hiari kwa kutumia hiyo akili yao!! Agizo hilo limewadhalilisha sana!! Moja ya miiko ya kitabibu ni kutolulazisha aina ya tiba/kinga kwa mgonjwa!Maaskofu wenye akili hao
Bado kuchanja ni hiari,asiwalazimisheNi mapadre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, hao ndio wapo chini ya mamlaka yake. Ingekuwa ni agizo la TEC hapo ndio ingekuwa mapadre wote nchini
Mapadre wanakula Kila mwaka kiapo Cha utii kwa Askofu wake.As long Hilo agizo limetoka,hakuna mjadala mwingine Ni kutekeleza tu.Ila watafuata tahadhari zoteKuingilia utashi wa mtu binafsi kwenye kanisa ni ruksa? suppose padre kutokana na utashi wake hataki kuchanja, je, askofu yupo tayari kumfukuza kazi huyo padre......wajuvi tuwekeeni udadavuzi.