DAR: Barabara 9 kufungwa kwa siku sita kupisha mkutano wa madini chini ya Viongozi kadhaa wa Afrika

Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
Jehanam ndogo ni DAR pekeyake
 
Mimi nina mpango wa kutoingia kabisa mainland Dar. Imagine watu wa Temeke,Kigamboni,Mbagala,Buzaa etc watumie Kawawa road kuingia na kutoka mjini.
 
Mambo ya kufunga bara bara kwa sababu ya mkutano ni mambo ya zamani sana..
Hawawezi kusumbua kichwa kufanya traffic management wanaenda kwa option rahisi zuia magari yasitumie njia hizi.
Ni kama tatizo la kuchakachua mafuta solution walioiona haisumbui kichwa ni kupandisha bei ya kerosene.
 
Mimi nina mpango wa kutoingia kabisa mainland Dar. Imagine watu wa Temeke,Kigamboni,Mbagala,Buzaa etc watumie Kawawa road kuingia na kutoka mjini.
Nimeshapanga ratiba yangu kuanzia jumatatu naingia zangu vikundu dukani kwangu, kwenda kupoteza siku Kwa kukaa kwenye foleni hiyo sitafanya
 
Duh! Na huu mji ilivyo na foleni sasa hizo zikifungwa siitakuwa balaa
NINASHAURI UJENGWE MJI WA KISERIKALI NJE YA MJI KUEPUSHA USUMBUFU NA HASARA KWA RAIA KATIKA KUJITAFUTIA RIZIKI.

Mji wa kiserikali zitapohamishiwa kumbi za mikutano ya kimataifa au kitaifa na ofisi muhimu za serikali na mahoteli yajengwe huko pia
 
Wakuu Arusha mikutano ni mingi sana na huathiri shughuki za kiuchumi karibu kila mwezi.
Tupumzisheni kidogo nanyi muonje hilo joto
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwangu Mimi naona Dodoma iboreshwe zaidi hasa Kwa mahotel makubwa na miundombinu mizuri itasaidia Sana Kwa mikutano kama hii
 
Wakuu Arusha mikutano ni mingi sana na huathiri shughuki za kiuchumi karibu kila mwezi.
Tupumzisheni kidogo nanyi muonje hilo joto
Huko si ndio Geneva ya Africa.
 
NINASHAURI UJENGWE MJI WA KISERIKALI NJE YA MJI KUEPUSHA USUMBUFU NA HASARA KWA RAIA KATIKA KUJITAFUTIA RIZIKI.

Mji wa kiserikali zitapohamishiwa kumbi za mikutano ya kimataifa au kitaifa na ofisi muhimu za serikali na mahoteli yajengwe huko pia
Huu upo Dodoma. Tatizo ni hakuna hotel za 4/5* za kutosha na International Airport haijakamilika. Hivi vikikamilika haya mambo yatafanyika Dodoma.
 
Mkuu unafahamu fika wakifanyia Arusha pia huwa tunateseka.
Dawa ni kutenga eneo nje ya mji wajenge kumbi za mikutano na hotel huko
Arusha wakiwa na mkutano AICC wanaweza kupita Phillips na kufika kirahisi bila kuleta usumbufu mkubwa kama daslm.
 
Ukiwa na serikal dhaifu kama hii lazima vitu vingi viongozqw kwa mihemko kaka........TANZANIA heri tuiuze tu kwa ELON MUSK 🚮
 
Kitendo cha kufunga barabara za jijini Dar kupisha wazito wa mkutano wa nishati unaoendelea kinakera na kushangaza.

Sijui ni mantiki gani kufanya hivyo? Kwanini wasingefanyia mkutano wao mbuga za wanyama na kuwaacha wananchi wachakarike hasa ikizingatiwa kuwa ndiyo wanaogharimia na kuendesha maisha ya hao walaji?

Ni akili na haki au matope na dhuluma mbali na ulimbukeni? Marekani hawanaga ujinga huu.

Ndiiyo maana walimnunulia Marine Ones rais wao kuepuka kuwafungia barabara wakati wao ndiiyo wanaendesha maisha yake na walaji wenzake.
Nawaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…