doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,706
- 2,861
How ?Kagame akija,asiondoke tubaki nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How ?Kagame akija,asiondoke tubaki nae.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣Nasema huu ujinga wa Hali ya Juu. Unasimamisha uchumi wa nchi kisa wageni, kwani lazima waje Kwetu? Na kitu wanachoongelea eti waTanzania 8.5M, JPM aliwezesha watu kupata umeme uko vijijini na hakuna kukatika, ukijatika Menager wankanda na wewe unakatika, bila mkutana wa wakuu wa nchi.
Kutoka Airport Kwa Sasa kuna njia ya Mwendo kasi iliyo kamimika Kwa karibu 95% Kwa nini wasitumie hiyo na waweke vizuizi kuhakikisha hakuna gari binafsi linapita huko hasa hizi zenye namba PT, STK, SU, RAC, DFP, JW, STN, na wale waajitiwa kutoka hizo offsi, maana ndio magwiji wa kuvunja Sheria za barabarani Kwa kisingizio Cha maagizo ya boss.
Mimi naona ni uvivu wa jeshi la polisi tu, kama hutaki kuumiza kichwa wafukuze wote Hata kama wata suffer. Kwa kifupi nchi Haina huruma na watu wake walipa Kodi wake.
Naamini kwanza viongozi wote wa juu magari yao yanausalama wa hari ya juu kabisa. Wewe ukiwa na gobore lako enti kumtungua Kagame sauti tu itasikika then few second later you are dead man.
Nasisitiza TZ ni Jehanamu ndogo.
Mimi nina mpango wa kutoingia kabisa mainland Dar. Imagine watu wa Temeke,Kigamboni,Mbagala,Buzaa etc watumie Kawawa road kuingia na kutoka mjini.Mpaka unafika kariakoo utakuwa umetumia usafiri gani? Maana foleni ya kuingia kariakoo Kwa hizo barabara Ambazo zitafungwa zipo karibu yake...
Kwa Sisi wabangaizaji tutaingia kariakoo SAA 5 na tutaondoka usiku Sana kuanzia SAA 3, poleni nyie wa maofisini
Nashangaa, mikutano mingi ya kimataifa huwa inafanyika Arusha huu sijui vipi.Wangepeleka huko Arusha Hotel zipo..
Mambo ya kufunga bara bara kwa sababu ya mkutano ni mambo ya zamani sana..Nashangaa, mikutano mingi ya kimataifa huwa inafanyika Arusha huu sijui vipi.
Hawawezi kusumbua kichwa kufanya traffic management wanaenda kwa option rahisi zuia magari yasitumie njia hizi.Mambo ya kufunga bara bara kwa sababu ya mkutano ni mambo ya zamani sana..
Nimeshapanga ratiba yangu kuanzia jumatatu naingia zangu vikundu dukani kwangu, kwenda kupoteza siku Kwa kukaa kwenye foleni hiyo sitafanyaMimi nina mpango wa kutoingia kabisa mainland Dar. Imagine watu wa Temeke,Kigamboni,Mbagala,Buzaa etc watumie Kawawa road kuingia na kutoka mjini.
Huu mkutano ulitakiwa ufanyikie Dodoma!
Dar itakuwa vurugu sana!
NINASHAURI UJENGWE MJI WA KISERIKALI NJE YA MJI KUEPUSHA USUMBUFU NA HASARA KWA RAIA KATIKA KUJITAFUTIA RIZIKI.Duh! Na huu mji ilivyo na foleni sasa hizo zikifungwa siitakuwa balaa
Wakuu Arusha mikutano ni mingi sana na huathiri shughuki za kiuchumi karibu kila mwezi.Nashangaa, mikutano mingi ya kimataifa huwa inafanyika Arusha huu sijui vipi.
Mkuu unafahamu fika wakifanyia Arusha pia huwa tunateseka.Wangepeleka huko Arusha Hotel zipo..
Huyu hayupo kwenye listNa huyu Dogo atakuwepo?
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wakuu Arusha mikutano ni mingi sana na huathiri shughuki za kiuchumi karibu kila mwezi.
Tupumzisheni kidogo nanyi muonje hilo joto
Dodoma shughuli zote za uchumi zitasimama mkuu, mana barabara yenyewe ni moja tu na nyembamba kama nyoka.Huu mkutano ulitakiwa ufanyikie Dodoma!
Dar itakuwa vurugu sana!
Huko si ndio Geneva ya Africa.Wakuu Arusha mikutano ni mingi sana na huathiri shughuki za kiuchumi karibu kila mwezi.
Tupumzisheni kidogo nanyi muonje hilo joto
Huu upo Dodoma. Tatizo ni hakuna hotel za 4/5* za kutosha na International Airport haijakamilika. Hivi vikikamilika haya mambo yatafanyika Dodoma.NINASHAURI UJENGWE MJI WA KISERIKALI NJE YA MJI KUEPUSHA USUMBUFU NA HASARA KWA RAIA KATIKA KUJITAFUTIA RIZIKI.
Mji wa kiserikali zitapohamishiwa kumbi za mikutano ya kimataifa au kitaifa na ofisi muhimu za serikali na mahoteli yajengwe huko pia
Arusha wakiwa na mkutano AICC wanaweza kupita Phillips na kufika kirahisi bila kuleta usumbufu mkubwa kama daslm.Mkuu unafahamu fika wakifanyia Arusha pia huwa tunateseka.
Dawa ni kutenga eneo nje ya mji wajenge kumbi za mikutano na hotel huko