Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Dereva wa basi hilo alitaka kuwapeleka shule, ila wananchi waliofika kusaidia wakasema hawawezi kwenda hivyo shule kutokana na tukio hilo, kwanza wawapeleke hospitali…. sijui nini kilifuataLimepita kuwachukua linawapeleka shule au linawapeleka hospitali, kuwapa taarifa wazazi na kuwasubiri wawasili hospitali ili warudi na watoto nyumbani?
Kifo kimewakosaAjali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao.
View attachment 2761369View attachment 2761370
View attachment 2761371
Habari zaidizitakujia kadri zitakavyopatikana.
Inafanya barabara kuwa sehemu hatari sana.Hivi hii staili ya mitaro ya wazi tuliiga wapi?
Hata Mimi huwa najiuliza sana hiliHivi hii staili ya mitaro ya wazi tuliiga wapi?
Ushauri wa wahandisi wetuHivi hii staili ya mitaro ya wazi tuliiga wapi?
Uvivu wa kufikiri umetufikisha hapoHivi hii staili ya mitaro ya wazi tuliiga wapi?
👏👏👏👏👏Uvivu wa kufikiri umetufikisha hapo
Taarifa toka shule watoto wapo salama ni michubuko tu kidogo ila mwalimu Mkuu ameshachukua jukumu lake kama Mkuu na watoto wanaendelea vizuri. Poleni sana wazazi na walimu kwa changamoto hiiUvivu wa kufikiri umetufikisha hapo
Kuna watu wasio kuwa na akili huko manispaa ndio wanaona mamitaro makubwa ni suluhu ya kupitisha maji taka bila kukwama.Hivi hii staili ya mitaro ya wazi tuliiga wapi?
Kama hii mandela road kutokea kule Riverside hadi tazara kule yaani mamotaro gari ikiteleza lazima ile mueleka.Inafanya barabara kuwa sehemu hatari sana.
Boss, Mitaro kuwa mikubwa ni sahihi, mitaro mikubwa kuachwa wazi sio sahihi na ni hatari.Kuna watu wasio kuwa na akili huko manispaa ndio wanaona mamitaro makubwa ni suluhu ya kupitisha maji taka bila kukwama.
Yaani ni ukosefu wa akili kiwango cha lami mzee.
Ndivyo Sheria inawaruhusu nilikuwa sijui Kabisa!Sijui kama wenzangu huwa mnawafuatilia hawa madereva wa gari za shule huwa wapo rough sana.
Nadhani ni kwasababu sheria inawaruhusu kutembea kama gari la zima moto au embulance, hawakai katika foleni na kuna sehemu wanaruhusiwa kupita kama dharula.
Ila bado hata huku mitaani huwa wanatembea na hizi gari bila adabu kabisa as if hawajabeba watoto kabisa.