Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

A
Dereva wa basi hilo alitaka kuwapeleka shule, ila wananchi waliofika kusaidia wakasema hawawezi kwenda hivyo shule kutokana na tukio hilo, kwanza wawapeleke hospitali…. sijui nini kilifuata
Alifanya la maana,maana hujui kama wamedhurika kiasi gani pia kisaukolojia!
 
Boss, Mitaro kuwa mikubwa ni sahihi, mitaro mikubwa kuachwa wazi sio sahihi na ni hatari.
Basi pembeni ujengwe uzio.
Mtaro mkubwa bila uzio ni balaa jingine.
 
Reactions: Tsh
Hawa madereva kuna tatizo. Kunduchi kidogo nimpe za chembe siku moja jamaa alafu ndani kabeba watoto ila uendeshaji wake sio kabisa. Serikali iliangalie hili swala upya. Zile za kukagua tu alafu ndio imeisha ni uongo. Wazazi pia mfatlie hizi gari mara moja kwa usalama wa watoto wako. Sio lazima ni muhimu tu kama unampenda mwanao, hawa madereva wengi sidhani kama wana vigezo zaidi ya janja janja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…