Dar: Bweni shule ya Ilala Islamic laungua moto, wanafunzi 3 wafariki

Dar: Bweni shule ya Ilala Islamic laungua moto, wanafunzi 3 wafariki

Uchaguzi huu Mungu atusaidie, R. I. P kwa watoto wetu waliopoteza maisha
 
Sheikh anakimbilia kwenye mpango wa Mungu badala ya kuviachia kwanza vyombo husika vya usalama kufanya uchunguzi wa kina ili kufahamu chanzo cha huo moto na hivyo hatua stahiki kuchukuliwa!!
 
Poleni sana. Najiuliza hivi zile Sanitizers watoto waliruhisiwa mashuleni? Kuna shule zulikataza Sanitizer s kwa kuwa zinalipuka. Ila vyombo vya usalama ninaamini viko kazini.
 
Pole kwa wafiwa, Mwenyezi Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom