Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hivi huwa hamna aibu? Unajuwa maana ya uchaguzi?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Hii punyeto ya kisiasa ndiyo mnaita ushindi.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Wapinzani wamekosa dira kabisa wamekuwa watu wa kutengeneza tuhuma badala ya kuweka mikakati ya kushindana.Tofauti naCCM ambao walianza harakati za uchaguzi mapemaHivi huwa hamna aibu? Unajuwa maana ya uchaguzi?
Ninachojifunza uchaguzi huu ni kwamba bado upinzani haukubaliki na wananchi na huenda sababu ni malumbano ya viongozi pia vyama hivi kutoaminiana vyenyewe na kusababisha kutoaminiana na wapiga kura.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
https://www.facebook.com/Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Ndio maana mimi sikujiandikisha kabisa.Acha UJINGA wewe, jana hakukuwa na uchaguzi bali uporaji.
Mufasa Muzafuak Wajumbe Viti maalumu Wanawake ndio kumaaninisha nini?Wamejitekenya wamecheka wenyewe
Hongera sana CCM Segerea,Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Huyo mwanamke hana adabu, kama ningekuwa mimi ndiye mume wake akishuka jukwaani hapo talaka angeikuta mlangoni, pisi zote hizi anidhalilishe hivyo.
Hapana Hilo ni gumegume la CCM mume limtoe wapi?Huyo mwanamke hana adabu, kama ningekuwa mimi ndiye mume wake akishuka jukwaani hapo talaka angeikuta mlangoni, pisi zote hizi anidhalilishe hivyo.
Ni nungaembe hilo.Hapana Hilo ni gumegume la CCM mume limtoe wapi?
Hata halina mume inaonekana limeokotwa huko likapewa mike lijifanye mke wa mgombea ili limchafue tuNi nungaembe hilo.