LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uchaguzi uliopita walisingizia Magufuli kuwa ndiye aliyeupora, Sasahivi sijui wanamsingizia yupi, Maana kipenzi chao Samia hayo mambo hawezi kufanya 🤣😂😂,4R naona inafanya kazi vizuri Mbowe yupo anachekea tumboni Maana Yeye na Samia ndio waasisi wa 4R,hizi ni rasharasha subirini 2025 ndio mtajua maana halisi ya 4R kamili.
Technicaly speaking, ccm was not this aggresive nyakati za kura until magufuli, yeye ndio alifungua njia ya kutumika njia mbadala za kupata kura, ccm wakajifunza and wataendelea kuzitumia until wapinzani watakapo kuja na namna nyingine
 
Shida tunazozipata hata wewe na mumeo mnazipata sema nyie hamna akili
Kwanza kuonesha IQ yako ilivyo ndogo hujui hata mimi ni nani umeshahukumu mke lakini wala sio issue maana hamjui kuambiwa ukweli. Sasa kwenye shida ni wewe mimi sina shida yoyote mambo mazuri ndio kwanza napanga likizo ya Dec. Fanya kazi acha kulaumu shida zako kusingizia CCM. Piga kazi utasahau uanaharakati wa kijinga. Heshima ya mtu kazi/pesa sio magwanda.
 
We shetani una nini cha maana kupiga mizinga kwa wanaume na kupewa vipombe pombe unauza nchi yako kishetani, labda unaenda likizo ya chooni
 
Huna akili wewe ni takakata, akina Nyerere wangekuwa wapumbavu na wenye tamaa kama wewe nchi ingechelewa sn kupata uhuru.
Na wewe unaamini uhuru ulitafutwa? Uhuru wakubwa wenyewe walipanga kurudisha makoloni British walishafilisika ni mipango ilipangwa na UN kutoa uhuru hakuna aliyepigania Uhuru wajinga tu wanaamini hivyo.
 
Lakini wangeweza kuchukua madini yetu
 
Mkuu usidharau
mkuu history ilintengenezwa kufaidisha kikundi fulani wakaanza kuifundisha shule kutujaza uwongo kikundi fulani kionakane mashujaa hata history yetu ya Tanzania haiongelewi ukweli wote hakuna hata mataifa yote yalitawaliwa kwa makubaliano ya wakubwa huko na waliyaachia hao hao muda muafaka. Ukitaka kujuwa hata ukisoma ya Tanzania wale waliokuwa na Nyerere wakati ule wa kukabidhiwa madaraka leo hii wameondolewa kwenye history sababu tu walitofautiana. Na sisi tukabeba ya wazungu sijui nani alivumbua lake victoria?? mzungu fulani, alivumbuwa kwani kulikuwa hakuna watu wanaishi pale? unavumbua kitu watu hawakijui, utasikia mzungu wa kwanza kufika lake Tanganyika sijui bla bla inatusaidia nini sisi. Fake history
 
Mchango wao lakini upo
 
Back
Top Bottom