LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Pamoja na mapungufu ya chaguzi hizi ila kuna ukweli CCM wamejizatiti sana humu mitaani hili halina ubishi na wengi wanaona tu mbadala hakuna hata hao wapinzani ni CCM wanaotafuta fursa nje tu. Nimekuja kujuwa ukweli huu baada ya JPM kufariki na kushangaa fan base yake ilikuwa sio ya kitoto.
Kwa kujipakulia minyama mko njema, kuruhusu uchaguzi huru na kampeni mnaomba msaada polisi
 
Kwa kujipakulia minyama mko njema, kuruhusu uchaguzi huru na kampeni mnaomba msaada polisi
Wapinzani hawaaminiki hawana watu mitaani wana watu mitandaoni tu lakini kwenye mizizi hakuna kitu CCM wako mpaka chumbani kwako.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.

Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Uchaguzi uliopita walisingizia Magufuli kuwa ndiye aliyeupora, Sasahivi sijui wanamsingizia yupi, Maana kipenzi chao Samia hayo mambo hawezi kufanya 🤣😂😂,4R naona inafanya kazi vizuri Mbowe yupo anachekea tumboni Maana Yeye na Samia ndio waasisi wa 4R,hizi ni rasharasha subirini 2025 ndio mtajua maana halisi ya 4R kamili.
 
Pamoja na mapungufu ya chaguzi hizi ila kuna ukweli CCM wamejizatiti sana humu mitaani hili halina ubishi na wengi wanaona tu mbadala hakuna hata hao wapinzani ni CCM wanaotafuta fursa nje tu. Nimekuja kujuwa ukweli huu baada ya JPM kufariki na kushangaa fan base yake ilikuwa sio ya kitoto.
Unajitoa akili wewe.nani anasimamia uchaguzi??tume huru IPO??
 
1000241488.jpg
 
Back
Top Bottom