WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Upinzani unakubaliki asilimia 100% kwa wananchi ila sema serikali kupitia vyombo vyake vya usalama na mapapa waliomo nchini wamekuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi.Ninachojifunza uchaguzi huu ni kwamba bado upinzani haukubaliki na wananchi na huenda sababu ni malumbano ya viongozi pia vyama hivi kutoaminiana vyenyewe na kusababisha kutoaminiana na wapiga kura.