LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hilo ni trela tu, muvi kamili ni 2025 😆
 
Kwa kujipakulia minyama mko njema, kuruhusu uchaguzi huru na kampeni mnaomba msaada polisi
 
Kwa kujipakulia minyama mko njema, kuruhusu uchaguzi huru na kampeni mnaomba msaada polisi
Wapinzani hawaaminiki hawana watu mitaani wana watu mitandaoni tu lakini kwenye mizizi hakuna kitu CCM wako mpaka chumbani kwako.
 
Uchaguzi uliopita walisingizia Magufuli kuwa ndiye aliyeupora, Sasahivi sijui wanamsingizia yupi, Maana kipenzi chao Samia hayo mambo hawezi kufanya 🤣😂😂,4R naona inafanya kazi vizuri Mbowe yupo anachekea tumboni Maana Yeye na Samia ndio waasisi wa 4R,hizi ni rasharasha subirini 2025 ndio mtajua maana halisi ya 4R kamili.
 
Unajitoa akili wewe.nani anasimamia uchaguzi??tume huru IPO??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…