WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Upinzani unakubaliki asilimia 100% kwa wananchi ila sema serikali kupitia vyombo vyake vya usalama na mapapa waliomo nchini wamekuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi.Ninachojifunza uchaguzi huu ni kwamba bado upinzani haukubaliki na wananchi na huenda sababu ni malumbano ya viongozi pia vyama hivi kutoaminiana vyenyewe na kusababisha kutoaminiana na wapiga kura.
Mambo ya kishetani kabisa yametokeaKabisaa
CCM wana siasa za kisengerema sanaHiyo imepikwa ni utapeli wa CCM
Yaani kama upinzani mitandaoni ungekuwa unaamua basi mngeshinda ila hamtaki kukubali uhalisia ndio shida yenu ndio mwaka baada ya mwaka mnazidi kupotea, tume hizi hizi lakini mlikuwa sio haba leo mvuto umepotea mkubali tu.Unachekesha sana komredi wa CCM, unachotumia jitahidi upunguze kama sio kuacha kabisa.
Wana mambo ya kishenzi haswaCCM wana siasa za kisengerema sana
Shetani mkubwa, mbona hamtaki tume huru mnataka makada wa CCM wasimamie uchaguzi?Yaani kama upinzani mitandaoni ungekuwa unaamua basi mngeshinda ila hamtaki kukubali uhalisia ndio shida yenu ndio mwaka baada ya mwaka mnazidi kupotea, tume hizi hizi lakini mlikuwa sio haba leo mvuto umepotea mkubali tu.
CCM ni Chama Cha wapiga Nyeto, wakishajichua wanashangilia huku wakijiona na kujisifu kuwa ni watu wa mademuChama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
CCM ni wapiga nyeto, wanajitekenya, wanajichua halafu wanashangiliaWana mambo ya kishenzi haswa
Hovyo kabisa hawa mashetaniCCM ni wapiga nyeto, wanajitekenya, wanajichua halafu wanashangilia
Hongera kwa wizi wa kulaChama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Kwani yule Asenga wa Chadema yupo eneo gani?!Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Wameshinda kihalali?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
View attachment 3164222
View attachment 3164219
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Tume huru labda ukawalete toka Burundi Tz kila mtu DNA ya CCM. Chadema hili ndio litawatesa sana kutokukubali ukweli kipindi pekee mlionekana tishio wakati wa Lowasa na kwa sababu ilikuwa CCM vs CCM ni wakati pekee mlikubali kuwa bila damu ya CCM hamtoboi, ila mlijaribu...Shetani mkubwa, mbona hamtaki tume huru mnataka makada wa CCM wasimamie uchaguzi?
Ule ushetani mnafanya ni aibu kubwa kwenuTume huru labda ukawalete toka Burundi Tz kila mtu DNA ya CCM. Chadema hili ndio litawatesa sana kutokukubali ukweli kipindi pekee mlionekana tishio wakati wa Lowasa na kwa sababu ilikuwa CCM vs CCM ni wakati pekee mlikubali kuwa bila damu ya CCM hamtoboi, ila mlijaribu...
How?, ushindi ushindi tu., kushindwa kushindwa tu.Wamejitekenya wamecheka wenyewe
Hakuna aibu wala ushetani mna mawazo ya kizamani siasa za kizamani hamjiulizi tunakosea wapi? na mkiambiwa ukweli matusi na ku panic, badilikeni Lowasa aliwapa mwangaza kidogo mlitakiwa mchukue toka pale lakini mkarudi siasa za ukoloni. Wekeni sera nzuri za maendeleo ustaarabu utapendwa tu nyinyi mnatafuta kukamatwa ndio agenda yenu mnataka siasa za kuonewa huruma. Mjitafakari ukifanya siasa nzuri hata anayekuchukia siku atakuelewa tu. Sifa zenu matusi, mkamatwe, mahakamani hamna jipyaaa, watu hawataki hayo amkeni.Ule ushetani mnafanya ni aibu kubwa kwenu
Hata mumeo anaujua ukweli kuwa mmeiba mpk mkachoka + kuua watuHakuna aibu wala ushetani mna mawazo ya kizamani siasa za kizamani hamjiulizi tunakosea wapi? na mkiambiwa ukweli matusi na ku panic, badilikeni Lowasa aliwapa mwangaza kidogo mlitakiwa mchukue toka pale lakini mkarudi siasa za ukoloni. Wekeni sera nzuri za maendeleo ustaarabu utapendwa tu nyinyi mnatafuta kukamatwa ndio agenda yenu mnataka siasa za kuonewa huruma. Mjitafakari ukifanya siasa nzuri hata anayekuchukia siku atakuelewa tu. Sifa zenu matusi, mkamatwe, mahakamani hamna jipyaaa, watu hawataki hayo amkeni.