Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Hapo kinachofanya bei iwe juu ni chasis na engine ni vya scania F95HB310 ni engine ya kisasa inayotumia mafuta vzr kwa pungufu ya 30% ukilinganisha na zile scania 113 series, na zinadumu kwa muda mrefu ni tofaut na engine za kichina ambazo zikikaa miaka 2-3 lazima ubadilishe uweke mashine, gear box na difu ya scania
 
Ila mchina kwa mapambo nyoko.
Tafuta kiatu all star feki mchina na OG uone kipi kinang'aa
Cheki pikipiki yamaha na sunlg/sanlg(bei na mbwembwe)
Tafuta bodi la Dar Coach(scania/isuzu) uweke na yutong/zhongtong uone ipi inavutia macho na bei zake

Njoo baada ya miaka mitatu urudie hilo zoezi hapo juu. Utachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…