Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

umesema dola ngapiiii
 
Wanajitahid,ila BEI mmmh
 
Bei ni kubwa kuliko kununua nje kwa sababu vyuma Tanzania ni ghali sana kwa hiyo lazima iwe ghali sana,ukitaka uwe na viwanda lazima chuma kiwepo kwanza na umeme wa kutosha bila hivyo utakwama tu.Mfana cages za kufugia kuku kwa bongo wanatengeneza mafundi wa kawaida tu mitaani lakini bei yake ni ghali kuliko kuchukua kutoka China na tatizo ni bei za vyuma Kwa Tz
 
mimi nilijua jamaa wanasafirisha pekee kumbe wanasuka na body,vp kampuni gani nyingine wanapiga hizi mambo?
 
SIDHANI UNAIJUA HIO BEI SAWA NA SH NGAPI YA MADAFU.. JE HAYO MABASI UNAJUA WANANUNUA SH NGAPI
 
serikali ya ccm ndio imesababisha

FALCON MOMBASA.... ambaye unajiweka wazi kuwa ndiye DAR COACH huku ukipigiwa chapuo na SAAB 113-360
Labda nikupe ushauri wa bure..... ni heri kutengeneza USER NAME nyingine ambayo ni ya SIASA zaidi...

huwa unajichanganya kuonyesha ushabiki wa kivyama huku ni MFANYABIASHRA..... Katika wateja wako kuna baadhi ni watu wa vyama vingine...... ambao wanamiliki mabasi na wengine wanataka kumiliki.....

TRA hata siku Chadema itawale watumishi watabaki ni walewale..... serikali ni ile ile......

CHUKI ZAKO KWA SERIKALI...... CHUKI ZAKO KWA CHAMA...... ZITENGANISHE NA BIASHARA YAKO
 
SIDHANI UNAIJUA HIO BEI SAWA NA SH NGAPI YA MADAFU.. JE HAYO MABASI UNAJUA WANANUNUA SH NGAPI
Mkuu, jamaa yuko sawa, kuna bus aina ya scania irizah, lastime nilicheck bei yake like 3yrs ago ilikua inagusa 700mil na zaidi. Ukitaka bus zuri la bei rahisi, nunua kipisi Uingereza, toa cabin, refusha chasis then kanunue body ya marcopolo south africa valisha, hapo unaweza kutumia kama 250mil hivi.
 
mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila mimi sio mtu wa siasa kabisa pia mimi ni raia wa kawaida tu mkuu, serikali inapoteleza tunaikumbusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…