Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

mambo ya dar coach
 

Attachments

  • IMG_20170504_062553_761.JPG
    IMG_20170504_062553_761.JPG
    19.6 KB · Views: 117
Umepoteza muda wako kukomaa na ishu za kijinga, kila mtu yuko huru kukosoa pale serikali na watendaji wake wanapokosea...
Infwakti huyo unayekomaa nae hana cha kupoteza sababu kaileta habari kama dalali au kaamua tu kupigia chapuo.
Sasa upo sawa kuja na USERNAME tofauti.... hongera
 
OTE="falcon mombasa, post: 20939960, member: 277389"]mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila mimi sio mtu wa siasa kabisa pia mimi ni raia wa kawaida tu mkuu, serikali inapoteleza tunaikumbusha


Rais Magufuli awatakia heri ya Pasaka Watanzania wote
hatutaki

Angalia sasa chuki za wazi, ndo maana nikakushauri tafuta USERNAME nyingine uwe unajiachia...... HII SI NZURI SANA KWA BIASHARA[/QUOTE]
Sasa unataka awe anaisifia serikali km ww,? Tutolee ujinga hapa, freedom of speech iko wapi sasa
 
Mkuu, jamaa yuko sawa, kuna bus aina ya scania irizah, lastime nilicheck bei yake like 3yrs ago ilikua inagusa 700mil na zaidi. Ukitaka bus zuri la bei rahisi, nunua kipisi Uingereza, toa cabin, refusha chasis then kanunue body ya marcopolo south africa valisha, hapo unaweza kutumia kama 250mil hivi.
itakuwa Lori sio basi.
 
Sasa huyo ni mchina Mkuu, within 3yrs engine inakufa, scania wakikupa mashine mpya jua hiyo utatumia mpaka uikinai.
kuna gari uku tanga sjui mchina gani ule.unaitwa airbus inatoka tanga to mbeya.io gari ndani inapakia dumu5 za lita 20 full kupoza tu mashine .yaan ukiiona unaweza hisi ni gari mashine.ila daaahh vimeo bado kuripuka tu
 
Jiandae na fine kwenye mizani kila siku, maana baada ya mseto huo wote linazaliwa lidude moja lizitooo... Ila imara sana!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pia kwenye mizani insaidia sana gari ya tairi sita haiwezi kuzidi ndo maana kina taqwa ,falcon wanazile Nissan diesel wamezipiga tairi sita na zina beba mizigo mikubwa sana mizani hazizidi.
Kwa hyo ni nzuri kwa kufoji uzito halisi wa basi au sijaelewa hapo mkuu........
 
$217,000 × 2230= Tshs 483,910,000.

Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
Ndiyo ujiulize wale wanaotoa $108,500 kununua gari la kubeba watu nane tu huwa wanawaza nini...!? Bora hilo linabeba watu sitini.
 
Ndiyo ujiulize wale wanaotoa $108,500 kununua gari la kubeba watu nane tu huwa wanawaza nini...!? Bora hilo linabeba watu sitini.
ni kuangalia kama unafikia malengo yako basi biashara ya bus utaiweza
 
Back
Top Bottom