Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

Hizi kauli ni dharau kwa Rais...

Rais ana sources nyingi sana za taarifa...

Ukisema anadanganywa inakua ngumu kuimeza...

Ukisema anatishwa, indirectly umetuambia Rais ni dhaifu, hili ni tusi kwa rais na sii utetezi.
Akiwa muslimu anadanganywa na wasaidizi wake, means ye hahusiki, akiwa Christian yeye ndio muuaji!!!??
 
Kwanini hao wakosaji wasihukumiwe na kufungwa jela badala ya kutekwa na kuuawa mkuu?
 
Kwanini hakulock milango ya gsri lake
 
Kwanini hao wakosaji wasihukumiwe na kufungwa jela badala ya kutekwa na kuuawa mkuu?
Kwa sababu Watu hao ni WASALITI WAKUBWA SANA KWA NCHI, KWA WANANCHI WENZAO PAMOJA NA USALITI MKUBWA SANA DHIDI YA MASLAHI MAPANA ZAIDI YA WANANCHI WENZAO. Hao ni WAHAINI, hivyo hawapaswi kabisa kuonewa huruma kwa sababu wamejikana wao wenyewe katika kustahili kupatiwa nafasi ya Haki za binadamu. Uhaini ni Kosa kubwa zaidi kuliko makosa mengine yote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni kwa mujibu wa Ibara ya ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 iliyopo hivi Sasa.
 
Narudia tena naamini kuna mazungumzo yanaendelea kati ya ndugu au familia na wasiojulikana na vyombo vingi vimepigwa pin visireport hii habari ili kupunguza tensheni kwenye hii ishu.
Ila ukichunguza kwa umakini na kusoma wasifu binafsi (CV) ya huyo mtu unaweza kubaini pasipo kuacha shaka kwamba ni mtu wa tiss, hili liko wazi kabisa, Wala hata hakuna kificho.
 
Ila ukichunguza kwa umakini na kusoma wasifu binafsi (CV) ya huyo mtu unaweza kubaini pasipo kuacha shaka kwamba ni mtu wa tiss, hili liko wazi kabisa, Wala hata hakuna kificho.
Niliona hata jinsi familia walivyohandle situation inaonekan hivyo, mke wake hakutaka kuongea chochote na ndugu wamekatazwa kuzungumzia ishu.

Kama sikosei watangazaji wa mwananchi walienda eneo la tukio, ndiyo nilisikia hivyo na hata mke alipokuwa anaulizwa kazi ya mume wake hakutaka kujibu.
 
Yeah, inavyoonekana kama vile huyo mtu amechukuliwa na wenzake kwa lengo la kutekeleza 'mission' fulani hivi, kwa hiyo inaonyesha kwamba kama vile hajatekwa kama tulivyojulishwa hapo awali. It's just like a certain convert operation for deceiving the public especially in the ongoing issues of the abductions of the government critics.
 
Mkuu naona kichwa chako hakiko sawa. Nakuacha. Nikiendelea kukujibu nitakula ban sasa hivi.
 
Siku wewe au mama yako mkitolewa kafara ndipo akili zitakurudia. Jifanye chizi kwanza.
Mama yangu siyo mtu mhalifu, siyo fisadi, siyo mwizi, siyo muuaji wa makusudi kwa ujeuri, siyo mtekaji wa watu wanaomkosoa, siyo haini. Hivyo, amekosa kabisa sifa na vigezo vya kuweza kuwa mbuzi wa kafara.
 
Kikwete aliteka lakini hakuwahi kuua? Je, kwa kuwa Kikwete aliteka kwa hiyo ni halali utekaji na uuaji kuendelea?
Utakuwa umezaliwa juzi mkuu!! Utekaji upo tangu serikali ya awamu ya kwanza. Pia utekaji ni moja ya mbinu za medani za kuwashughulikia wanaochezea dola/serikali duniani kote. Muulize Snowden wa Marekani aliyekimbilia Urusi atakumbia vizuri.
 
Kikwete alimuua nani mkuu?
 
Mama yangu siyo mtu mhalifu, siyo fisadi, siyo mwizi, siyo muuaji wa makusudi kwa ujeuri, siyo mtekaji wa watu wanaomkosoa, siyo haini. Hivyo, amekosa kabisa sifa na vigezo vya kuweza kuwa mbuzi wa kafara.
Mbona mafisadi wamejaa ndani ya CCM lakini hawauawi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…